Recent content by JustusAugust

  1. JustusAugust

    Kijana aliyebaka na kulawiti Watoto huko Iringa anaweza kufungwa maisha

    Then nilikuwa kiongozi wa Darasa na badaye nikaja kuwa kiongozi kwenye serikali ya wanafunzi ambaye niliaminika kwa kiasi fulani... kwa nafasi hizo nilipata wakati wa kufahamiana na wanafunzi wengi Mara kwa mara alikuwa akiniambia "we jamaa unafaidi sana..." I can't tell alichokuwa akimaanisha
  2. JustusAugust

    Kijana aliyebaka na kulawiti Watoto huko Iringa anaweza kufungwa maisha

    Hapana. Najaribu kuunganisha dots. Nimeangalia pia reactions za class mates wake wa kike... ikaendelea kunipunguzia mshangao
  3. JustusAugust

    Kijana aliyebaka na kulawiti Watoto huko Iringa anaweza kufungwa maisha

    Kilichofichika kwenye kichwa na hisia za mtu ni vigumu kutambulika kwa muonekano wa mtu, ila kupitia maneno na matendo yake ya mara kwa mara mwenye udadisi anaweza kubashiri yatakaoyojiri. Anold Mlay tulisoma shule Moja Makongo kama ni kweli kwa tuhuma hizo sitashangaa
  4. JustusAugust

    Ubinafsi na Uvumilivu haba baina ya wazazi vinapelekea idadi ya Single-parent children kuongezeka.

    Sina uhakika sana na data ambazo umezitumia hapa, na hiyo inaninyima uhuru wa kuijibia... lakini ninachoweza kusema ni kwamba Binadamu siku zote hukimbilia penye wepesi endapo watalinganisha upande mmoja mgumu na mwingine pana wepesi. Walio kwenye anguko (crisis) wana tabia ya kukimbilia...
  5. JustusAugust

    Ubinafsi na Uvumilivu haba baina ya wazazi vinapelekea Single-aparent Children kuongezeka

    Salaam wanajamvi la JF. Ukienda kwenye vituo vya rlimu za watoto wadogo, awali, msingi na kuendelea ukapata wasaa wa kuzungumza na watoto au walimu utapata kufahamu kuwa watoto ambao wanaishi au kulelewa na mzazi mmoja au mzazi wa kambo au mzazi wa kufikia inazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka...
  6. JustusAugust

    Ubinafsi na Uvumilivu haba baina ya wazazi vinapelekea idadi ya Single-parent children kuongezeka.

    Salaam wanajamvi la JF. Ukienda kwenye vituo vya elimu za watoto wadogo, awali, msingi na kuendelea ukapata wasaa wa kuzungumza na watoto au walimu utapata kufahamu kuwa watoto ambao wanaishi au kulelewa na mzazi mmoja au mzazi wa kambo au mzazi wa kufikia inazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka...
  7. JustusAugust

    Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Mshiiri, Huu ni mtazamo wangu ambao umetohoa maarifa ya kibiologia na kigizikia. KINACHOTUMIKA KINACHOKA NA KUANGUKA MAPEMA IKILINGANISHWA NA KILE KINACHONUFAIKA. mtazamo huu unazingatia sana na kuheshimu dhana ya aina ya utumiaji, kiwango cha utumiaji na maintenance pia. Wanawake wao...
  8. JustusAugust

    Najitambulisha kwenu

    Na kama haikubugudhi wewe kwenye masuala mengine ya kimaisha... kila la kheri. Maana wapo wasiotumia pombe lakini bado hawatoshi kwenye jamii zao. Na wapo wanaokunywa nawanaendelea kuwa wa manufaa
  9. JustusAugust

    Najitambulisha kwenu

    Asante. Ubaya wa kitu upo kwenye matumizi sawa na ilivyo kwenye vile vinavyodhaniwa kuwa vizuri. Mara nyingi ubaya wa pombe umekuwa ukionekana kwenye matokeo ya wanaoitumia, mfano ugomvi, lugha za matusi, kupuuza yaliyo ya msingi n.k.
  10. JustusAugust

    Najitambulisha kwenu

    Rebeca 83, :):):):) asante.
  11. JustusAugust

    Najitambulisha kwenu

    Huko sasa... nadhani hadi unafahamu unachopanga... ninaweza kusema fikiria tena. Kulimbikiza visasi, kushindwa kisamehe au kumbukumbu za maumivu/mateso ya siku za nyuma hupelekea hali hiyo.
  12. JustusAugust

    Najitambulisha kwenu

    abdi ally, Kitu chochote si tatizo hadi pale mhusika atakiangalia kwa mtazamo wa kukiona ni tatizo. Hilo la kwako laweza pia lisiwe sehemu ya yale yanayoweza kuonenkana kama tatizo. But, kwa sababu umelileta kwangu yafaa tukae na kuongea ndipo naweza kuwa kwenye nafasi nzuri ya kukupatia...
  13. JustusAugust

    Najitambulisha kwenu

    Well, swali lako la mwisho linajibu la mwanzo. Kwenye applied we have: Clinical, Educational, Health, Forensic, Occupational; Sports na Industrial Psychology! Hizi hapa ukiziangalia kwa undani zinagusa sehemu kubwa ya maisha. Kwenye basic: ni sasa mtu anachagua sehemu ndogo kwenye moja ya...
  14. JustusAugust

    Je, Umechaguliwa UDSM kusoma BEd/BA Psychology?

    Nawasubiria mkuu! Maisha haya yanahitaji link ili vikwazo viwe vyepesi kuvukwa
  15. JustusAugust

    Najitambulisha kwenu

    Swali lako though😅😅😅! Applied Psychology ni tofauti na basic psychology. Na huu ndiyo mwanzo wa vitu wenyewe... Asante kwa yote.
Back
Top Bottom