Najitambulisha kwenu

Karibu sana JF! ila huku ni kwa ajili ya utambulisho tu. Mambo mengine ya saikolojia, ungeenda kwenye jukwaa husika.
 
Asante sana Rebeca.
Applied Psychology. (Pia kwenye Saikolojia ya Jamii, Tabia, Malezi na Makuzi, Mahusiano, Hisia, Elimu n.k
Kwa sasa nafundisha Saikolojia (IBDP) Aga Khan Education Service Tanzania
Acha kujimwambafai hajakuuliza unafundisha wapi,wewe ni muhaya nini?
 
Karibu mkuu
Swali la kizush eti pombe ni mbaya?
Asante. Ubaya wa kitu upo kwenye matumizi sawa na ilivyo kwenye vile vinavyodhaniwa kuwa vizuri. Mara nyingi ubaya wa pombe umekuwa ukionekana kwenye matokeo ya wanaoitumia, mfano ugomvi, lugha za matusi, kupuuza yaliyo ya msingi n.k.
 
Kwa hyo nikinywa nisipo mbuguzi mtu haina ubaya?

Na kama haikubugudhi wewe kwenye masuala mengine ya kimaisha... kila la kheri. Maana wapo wasiotumia pombe lakini bado hawatoshi kwenye jamii zao. Na wapo wanaokunywa nawanaendelea kuwa wa manufaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom