Je, Umechaguliwa UDSM kusoma BEd/BA Psychology?

JustusAugust

Member
Oct 5, 2019
18
20
Naanza kwa kukupongeza kwa nafasi hiyo.
Ni dhahiri kuwa hizi ni course ambazo hazina ushindani mkubwa kwenye chuo hiki na huwa hazibebi wanafunzi wengi. Hii imaweza kuwa ni kutokana na soko la taaluma hii kwenye jamii yetu n.k
Endapo lipo unalotaka kufahamu juu ya course hii kwa kipindi cha masomo au baada ya masomo... karibu tuwasiliane kupitia WhatsApp namba hii 0738967535 (WhatsApp only).

Justus August
Mwanasaikolojia
 
Back
Top Bottom