unaweza kubadili ndio lakini unatakiwa kuhakikisha kwamba chuo unachohamia kinatoa hyo coz ya CO na pia je UFAULU wako unakuwezesha kuomba hyo coz? kama jibu ni ndio basi unaweza
Wakuu, naomba information za CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE BUMBULI - LUSHOTO na EDGAR MARANTA NURSING SCHOOL IFAKARA, hasa contacts za chuo au taarifa za joining instructions kama zitapatkana.
naomba msaada wakuu, chuo ni EDGAR MARANTA NURSING SCHOOL IFAKARA, naomba mnijuze regstrtn details na contacts zao ila kwa yyte anayekifaham vzr anijuze zaidi hasa kwa upande wa maisha halisi ya chuo kwa uzoefu atakakuwa nao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.