Recent content by justus kipara

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto ni Mbunge halali wa CHADEMA

    Mmh masikini zitto
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CHADEMA, Selasini akihutubia maelfu ya watu

    Mmh c.c.m propaganda
  3. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA ni sawa na HIV kwenye afya ya CHADEMA, CUF na NCCR Mageuzi

    Mtoa hoja dhaifu km wewe ulivyodhaifu. Umoja ni nguvu kaka!......huo ni woga wa maccm
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe anastahili pongezi & certificate of appreciation na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa

    Mbowe n kiumbe kingine Tanzania hakuna kiongozi wa ccm anayefikia hata nusu ya uwezo wake.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Maajabu Ya Werema Na Kejeli yake Kwa MUNGU

    Mbaguzi huyo anaita watu tumbili Zanzibar aliwaambia wapeleke mambo yao huko. Mwizi tu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Madeni yatoboa bakuli la bajeti

    Tatizo watanzania wanailazimisha ccm kutawala wakati imechoka.Ndiyo matokeo yake mnaletewa bajeti feki
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vurugu mitaani Mwanza kati ya wamachinga na polisi

    Vurugu kubwa kati ya machinga na mgambo wa jiji wakiongonzwa na jeshi la polisi amepora Mali na kuchoma vibanda vyao vurugu zimeanza saa mbili asbh na shughuli zote zimesimama mjini kati. Zimeanzia sehemu moja mashuhuri za machinga Makoroboi na kuenea maeneo mbalimbali ya lumbumba market...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rwanda yazuia magari ya Tanzania

    Na muunga mkono Kagame kwanini wapeleke majeshi congo ?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa Nape, Mwigulu na CCM yao kwa Wana-CHADEMA uwe fundisho kwa wengine!

    Hata bwana mmoja anaitwa Focus mpiga disco bukoba mjini alihaidiwa tshs 100ml na Asumpta ktk jimbo la Nkenge 2010 akajitoa kwa na kuandikiwa cheque feki alipokuta hamna kitu alikimbia mwezi mzima kwa aibu kubwa. Na bado yupo bukoba anapiga muziki kwenye arusi migombani. Angekuwa mh km wenje...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete achemka bungeni jioni leo

    Mwana mfalme anajua nini? Shati la ikulu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nusura nijiunge CCM

    Masele alikuwa anajinasua kwenye kashifa ya wizi wa 200 bln za iptl na tsnesco. Hakuna jipya majizi tu ccm
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dr Shukuru Kawambwa amwingiza Makamu wa Rais kwenye kashfa nzito

    Lizbon ndo serikali yako kila kitu dil
  13. J

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Prof Muhongo: Kwenye Mjadala wa Bajeti ya Nishati na Madini

    Mpuuzi tu niko namuangalia anakwepa hoja
Back
Top Bottom