Mbunge wa CHADEMA, Selasini akihutubia maelfu ya watu

Mbunge wa CHADEMA, Selasini akihutubia maelfu ya watu

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,326
Chadema kimejiishia ndugu zangu...
 

Attachments

  • 1404906887069.jpg
    1404906887069.jpg
    99.4 KB · Views: 2,420
  • 1404906932731.jpg
    1404906932731.jpg
    84.1 KB · Views: 705
Bora ajisomee gazeti
 

Attachments

  • 1404907276220.jpg
    1404907276220.jpg
    91 KB · Views: 1,826
Watu kibaooo
 

Attachments

  • 1404907368838.jpg
    1404907368838.jpg
    92.3 KB · Views: 472
ccm wame edit hizo picha bhana watuambia huo mkutano ulifanyika lini na sehemu gani/
 
attachment.php


Dahh! Chadema oyee, Peopleeeeess, M4C, Pamoja daimaaa.
Matokeo ya ubaguzi hayo, Mzimu wa Zitto Kabwe kazini.
 
si afadhali huyu Maghembe wa CCM Juzi kati hapa alihutubia watu 9 kwenye "NGOME YA CCM " Mkoa wa Kilimanjaro (MWANGA)
 
mtaendelea kufarijiana kwa vipicha vya ku-edit hadi lini? Magamba mnaweweseka sana!
 
Hata kama picha ni za kuedit jamaa ana hali mbaya jimboni mwake,anajisikia,ubabe mwingi kukasirika ovyo,dharau,kiherehere nk.baada ya kushindwa kutimiza wajib ndivo alivokua,warombo wanatamani uchaguzi ufike wamwadabishe kama mwenzie mramba
 
Jamani chadema bundi kaingia ndani ya chadema wanalo hii ni aibu.
 
attachment.php


Dahh! Chadema oyee, Peopleeeeess, M4C, Pamoja daimaaa.
Matokeo ya ubaguzi hayo, Mzimu wa Zitto Kabwe kazini.
Selasini naye kaingiliwa na mdudu gani jimnoni mimi mbon nilikuwa namwamini sana haya majanga kwa chadema.
 
Back
Top Bottom