kagoda
Member
- Jan 27, 2011
- 99
- 19
Njoo kwa watetezi wa wanyonge.CHADEMA daima.
chadema kama mnachukua wanachama wa matukio hamtafika mbali leo fulani kasema hivi mimi najiunga na chama chake kesho akisema vile narudi nilipotoka kazi kweli kweli
Njoo kwa watetezi wa wanyonge.CHADEMA daima.
na bakorakamo,ifweero na wapuuzi wengine wa taipu hiyo.Nusura uwe INTARAHAMWE Buku 7 kutumikishwa mitandaoni kama MSALANI
Ccm ni taasisi pendwa hapa nchini. Kilichotoka kinywani mwa naibu waziri hakirudi tena
Hujanielewa.Soma tena Mkuu
Siamini kwamba hukuwahi kusikia kauli za wanaccm hapo nyuma.
Nashangaa kuona mtu kama wewe bado ulikuwa na fikra za kujiunga na ccm tena wiki hii!!
Petro amejenga hoja yake kifalsafa, msome tena utamwelewa. Kwa ufupi ni kuwa anawashangaa CCM na mikwara mbuzi yao, hoja wanayo ambayo ingeweza kuwajenga kisiasa lkn ujasiri wao ni ZERO!
Petro amejenga hoja yake kifalsafa, msome tena utamwelewa. Kwa ufupi ni kuwa anawashangaa CCM na mikwara mbuzi yao, hoja wanayo ambayo ingeweza kuwajenga kisiasa lkn ujasiri wao ni ZERO!
Nusura uwe INTARAHAMWE Buku 7 kutumikishwa mitandaoni kama MSALANI
Ccm ni taasisi pendwa hapa nchini. Kilichotoka kinywani mwa naibu waziri hakirudi tena
Mkuu usidhani kila anayepinga ulaghai wa CHADEMA kwa herufi kubwa ni mtumwa. Wengine hatujafungwa mawazo na wanasiasa, kama ninyi mnavyofanyiwa na Mzee Slaa.
Wewe jiunge tu,wanafiki kama wewe ndio wanaotakiwa huko ccm
Akajiunge na wamwagia watu tindikali? Walisha watu sumu?
Mkuu usidhani kila anayepinga ulaghai wa CHADEMA kwa herufi kubwa ni mtumwa. Wengine hatujafungwa mawazo na wanasiasa, kama ninyi mnavyofanyiwa na Mzee Slaa.