Ngeleja: Zitto ni Mbunge halali wa CHADEMA

Ngeleja: Zitto ni Mbunge halali wa CHADEMA

Na Meya Bw Matata, alimtimua naibu meya last week baada ya kuzidiana kete za ulaji. Huo msala sijui ccm Mwanza wameumalizaje.

Mambo kama hayo magamba hayajitokezi kuchangia hata kidogo.
 
wabunge wa mahakama hawa hapa
1. zitto
2. kafulila
3. hamad

Hao ni wabunge wa wananchi, Mahakama haina wabunge kwa mfumo wa siasa wa nchi yetu.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mambo ya chadema yanamhusu nini Ngeleja? Ngeleje azungumzie mambo ya chama chake. Yeye ni miongoni mwa watu waliojitangaza kugombea Urais, pamoja na mawakala kama yeye ndani ya chama chake. Mmmmmmmmh, watu hata Urais wa nyumba zao hawajaweza, watawezaje kuongoza nchi?_

Huyo ni kibaraka wa rostam Aziz,inawezekama akagombea maana rostam kwa ccm ni kama maji jangwani.
 
Ok tumemsikia Rais wa Tanzania 2015-2020 Ngeleja na waziri mkuu Zitto Kabwe.
 
Nae ashughulikie matatizo ya jimboni kwake anazomewa tu huko jimboni kwake anatembea na maaskari.kila sehemu yake yamemshinda ya zito atayawezaaa mxxxxiuuu
 
Amekanusha baadhi ya watu wanaodai kuwa ni mbunge wa mahakama.
Source : Mwananchi leo
My take : Je, Ngeleja amekuwa msemaji wa CHADEMA siku hizi?
Ngeleja, Zigo lako linakushinda then unajaribu kunyenyua na la mwenzako!!
 
Hicho cheo cha usemaji wa CDM,Ngeleja kakipata lini? Magamba yanaweweseka sana kuona tumaini lao zzk anafutika kama upepo!
 
Hao ni wabunge wa wananchi, Mahakama haina wabunge kwa mfumo wa siasa wa nchi yetu.


Sent from my iPad using JamiiForums

Wabunge wasio na sifa wanaolindwa na mahakama zetu zisizo huru!
 
Hivi anakumbuka kuwahoji wapiga kura wake juu ya muundo wa serikali wanao utaka.
 
mbona nae ngeleja sisi chadema tunamtambua kama waziri halali wa nishati na madini wa serikali ya ccm.
 
sema wachaga walishamuadhibu

haya ndio mawazo ya kijinga mliyokuwa nayo kutaka kuligwa taifa kwa misingi ya dini na ukanda kwa kumtumia huyo kibaraka wenu zitto

sasa hivi mmeondoka na hilo pepo la udini na ukabila mko nalo kigoma, my precaution on this lazima liwatafune na kuwamaliza maana hakuna dhambi mbaya kama ubaguzi

wapi propaganda za udini na ukabila baada ya kumfukuza hicho kichomi, kwanza chadema walichelewa kumfukuza this was suppose to be 2009
 
Unafikiri wachaga utalinganisha na Kabila lako Hilo la kifala wakicheki tu karandiga la polisi ata kura hawaendi kupiga

Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
 
Amekanusha baadhi ya watu wanaodai kuwa ni mbunge wa mahakama.
Source : Mwananchi leo
My take : Je, Ngeleja amekuwa msemaji wa CHADEMA siku hizi?
=============================================




SOURCE: NIPASHE
Rais Mtarajiwa!??? mwanasheria wa Rostam; hata ubunge kapata kupitia Rostam; Hata uwaziri wa nishati aliupata ili aweze Rostam kuchota zile hela za Richmond!! Hili kuwadi hatari la MAFISADI tanzania Beware!! huu ni UKOMA!!!
 
Na Bado ataendelea kuwa Mbunge wa chadema na mwanachama mkweli wa chadema hata akifukuzwa kesho au keshokutwa. Itabakia mamluki kina Mbowe na Slaa.
 
Sawa,ni mbunge wa CHADEMA ila sio mwanachama wa CHADEMA.
Alipata ubunge akiwa mwanachama ila kwa sasa sio mwanachama maana hatimizi majukumu ya uanachama

Mbunge. diwani.rais lazima awe mwanachama wa chama cha siasa chenye usajiri wa kudumu.
Zitto ni mbunge. kupitia chadema.
 
Hawa wananchi wa NYANTAKUBWA mbona wanaonekana kama hawajajitambua!!!, yani wao badala ya kuuliza uwezekano wa wao kufaidika kutokana na uwepo wa GEREZA LA KASUNGAMILE, wanaulizia kuhusu ZITO KABWE ili iwasaidie nini, Kasungamile na zito wapi na wapi??.Hili swali itakuwa alijiuliza yeye mwenyewe kwa kupitia watu aliokuwa amewandaa, wale wananchi wanamatatizo mengi mno na hawawezi kufikiria kuuliza habari za ZITO KABWE hata cku moja.
 
Back
Top Bottom