Recent content by justinemour

  1. justinemour

    Hawa waliotuletea network marketing wanatumalizia vijana wetu ari yakutafta pesa

    Mkuu nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni moja hivi ya kusambaza vyombo,yaani nilifanya kazi mwezi mzima nakuja kuambia kwenye akaunti yangu nina 2300,mbona niliondoka na vyombo vyenyewe
  2. justinemour

    Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

    Mda wote niliyosoma hii cjaambulia kitu
  3. justinemour

    Watu 75 wametekwa tangu Rais Magufuli aingie madarakani

    Watafute njia ya kuzuia watu wasitekwe tena
  4. justinemour

    Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. justinemour

    Kumekucha, kutoana akili..!!

    Na kwako pia mkuu
  6. justinemour

    Je, unaweza uka share mswaki na mpenzi wako wa kike au wakiume?

    Kwangu ni vigumu,ila cha kujiuliza vipi kuhusu lomans na mme/mkeo?kama unashindwa kushare mshwaki?
  7. justinemour

    Waziri Kamwelwe asema atawaweka ndani wote wanaohoji ajiuzulu kutokana na MV Nyerere kuzama

    Tunaohoji tuko wengi je kuna mahabusu za kutosha kutujaza humo ndani???
  8. justinemour

    Tusipokuwa makini, kifuatacho ni kusikia ajali za Mabasi ya Mwendo kasi na Treni ya Stesheni-Pugu

    Tatizo la usafiri bado ni changamoto mno hapa kwetu na ndio maana unakuta magari mengi ya abiria huwa yanajaza kupitiliza,kuna wakati nilisikia kua magari ya kubeba abiria yanatakiwa yawe level sit hii iliishia wapi kwa????
  9. justinemour

    Ulinzi wa viongozi na ninayoyaona.

    [emoji848][emoji848][emoji848]
  10. justinemour

    Hivi maex huwa wanaachana?

    Just ask your heart,kwani maamuzi uyafanyayo hutoka moyoni mwako. [emoji736]NAJIBU SWALI LAKO ma EX huwa hawaachani labda muwe mmegombana tena kutishiana vifo lakini bila hivyo miaka 800 hamuwezi achana
  11. justinemour

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Duh,kwa hiyo sasa hivi jamaa wa masanga watakua na fulsa ya kuleta malalamiko yao hapa
  12. justinemour

    Je, unaweza kulala kwenye chumba pamoja na watu wawili wanaofanya mapenzi?

    Mi siwezi,kuna kipindi nilisafiri kikazi kwenda zambia sasa kuna jamaa alileta demu wake kwenye chumba tunacholala,jamaa tulimwachia chumba sisi tukala sebleni basi yale mambo yalivyoanza hata usingizi sikupata
Back
Top Bottom