You are a genious mkuu, sasa ubayaubaya tu, hatuwezi kufurahia na watu wanaofurahia ushindi na familia zao sasa hivi , we jiulize , nchi yote imenywea kwa hofu na kukata tamaa, hakuna anaefurahi pamoja nao ila familia zao tu, huo ni ushindi wa kifamilia tu, lakini ingekuwa ni peoples basi mitaa...