Mbowe kaweka wazi, kwa kusema Lowassa wakati wake umekwisha, alipewa chance na amefeli. Kwa hivyo Chadema kitafungua mashtaka ya wabunge waliodhulimiwa kura, lakini hawatafungua kesi ya uraisi. Ukitupa jongoo unatupa na mtii wake. It's time to shreed off the excess baggage from ccm B,