jeshi la sasa limekua tu na tabia ya kuonea wasio kua na makosa wenye makosa wanawaogopa jaman police ndo kazi yenu uonevu mkikaa vituon mnataman tu rushwa kazi yenu nn sehemu ikitokea uhalifu ukiripoti huja mwisho wa tukio wahalifu wameondoka etii wanakamata wasio husika kwa uchunguzi kwa nn...
kweli inasikitisha na hakuna asiependa maisha yake aende huko kumbuka ndugu yangu kuna waziri na muuza mchicha hawa kwa mtazamo unaweza sema ni watu wawili tofauti na tofauti yake ipo kwenye uwezo hata siku moja huwezi mkuta waziri au kiongozi yeyote wa serikali anatibiwa hospitali ya umma...
jaman kweli huo ni ubinadam au unyamaa hiyo sio kazi yake wangap wapo hawap huo msaada leo hii ana bebea makreti ya soda na bia jaman wa tz mnasapot hiyo kitu ni sahihi mungu tuepushie watu kama hawa
Ama kweli kala jeremaya alisha waambia maskini walewale matajiri walewale iweje mumin wa gwajima anaetembea kwa mguu yeye anamiliki vitu vyote hivyo alafu eti anajinadi yeye ni maskin kama waumin wake kama wangekua maskin angepata wapi hizo mali walizo mpa sadaka? siii mtumishiiiiii wa mungu...
Hapo sasa kaka unatafuta kiki kwani halima mdee analalamika mara ngapi kuhusu ubovu wa miundo mbinu lakin kwakua ni upinzan hapewi nyenzo ulitaka ajenge na nn hiyo barabara mpe mshiko wako atajenga na hesabu utapewa siasa na unayofanya yametokea wapi?
Maneno huumba nani alie kuambia huna uwezo wa kuzaa?kama ni daktari je awezaje kua na uwezo wa mungu?je wa mwamin mungu?bc kwa mungu hakuna umri wa uzee ipo siku mungu atakuonesha kwamba ni yeye ila ushaur mwamin mungu wako utende ya kumpendeza naye atakupendezesha kwa kilio chako kwake ili nawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.