Recent content by Justin Kitaja

  1. Justin Kitaja

    Happy birthday Jay Z. Mc mkali kuwahi kutokea tangu dunia iwepo

    You can't separate hip-hop&2pac Omar Shakur... The best ever rapper&Mc R.I.P shakur ..ur legacy will live forever..2pac Shakur#
  2. Justin Kitaja

    Nani kampa Lowassa Cheo cha 'Kiongozi Mkuu wa UKAWA'?

    Hvi chadema ndo walimpigia lowasa magoti agombee uraisi au lowasa ndo aliwaomba chadema agombee uraisi?
  3. Justin Kitaja

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Hahaha sawa wanalumumba hata mbuyu ni mkubwa sana ila ulianza kama mchicha tunaenda mdogo mdogo hata mtoto katika ukuaji haruki stage atakaa atatambaa atasimama na mwisho atatembea..Aluta continua
  4. Justin Kitaja

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Wewe je umekamilika au unadhani mwenyekiti malaika?tuachie chadema yetu kama hupendezwi hama nenda upande wa pili..haturudi nyuma
  5. Justin Kitaja

    Magufuli anashinda, sababu 10 ni hizi

    Ndio wapinzani tunamuunga mkono katika kuiangusha fisiem..!!
  6. Justin Kitaja

    UKAWA wasitisha kampeni nchi nzima ili kushirikiri mazishi ya Dr. Makaidi

    Kachuke 10000 Fasta kwa January makamba
  7. Justin Kitaja

    UKAWA wasitisha kampeni nchi nzima ili kushirikiri mazishi ya Dr. Makaidi

    Huyu makoko Leo anaandika makoko kama jina lake linavyosema
  8. Justin Kitaja

    Lowassa aitikisa Meatu

    Jamani kuna mtu Ana wimbo wa komba aliomtungia lowasa?unaosema lowasa huyo na Tanzania yake
  9. Justin Kitaja

    Mbowe utueleze kwanini unahamasisha kuvunja sheria ya NEC

    Punguza mihemuko Naona unafkiri kwa kutumia makalio!
  10. Justin Kitaja

    Mbowe utueleze kwanini unahamasisha kuvunja sheria ya NEC

    Kulinda kura sio kuangalia tu wakihesabu ila ni kuchunguza mienendo yote inayoendelea ili kuzuia mianya ya rushwa kutokea ndo mana serikali iliweka sheria Hio..ni sheria ambayo ipo kikatiba Xo kuwakataza watu ni kuwanyima haki Yao kikatba
  11. Justin Kitaja

    Mbowe utueleze kwanini unahamasisha kuvunja sheria ya NEC

    Unajua sheria ya uchaguzi iliyofanyiwa marekebisho mwaka2010?kama hujui nyamaza kimya ni haki kwa mujibu wa sheria kulinda kura yako mita 200 kutoka kituo cha kupiga Kura kilipo
Back
Top Bottom