Recent content by Justice fighter

  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tena: Mwenyekiti na Katibu wa Wilaya ya Magu wafukuzwa na uongozi wa Kanda!

    Hongera sana dr slaa,safisha chama kwanza then ukimaliza uanze kusafisha na hii serikali ya ccm iliolaaniwa, wanaodiriki kuuwa tembo kwa manufaa yao wenyewe!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

    Huyo kapuya kama kweli line yake ndio iliotuma sms za matukio yote hayo alafu bado anajaribu kukanusha kwamba hiyo laini alishaigawa, iyo haiwezi kumuingia mtu yeyote akilini ata mtoto mdogo ukimueleza ilo hawezi kuamini! Yeye minaona akiri kosa aseme ata tamaa za mwili ndio zilimponza mpaka...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Walimu waingiliwa kingono bila kujijua

    Duh huyo mchawi ningemjua ningemuomba awe ananibadilishia nyama!sometimes yakitimoto,mbuzi,na samaki pia.!nijinsi gani serikali yetu haiwajali walimu mpaka wachawi wanaamua kuwabadilishia mlo, wachawi endeleeni na moyo huo huo wa huruma::
  4. J

    JamiiForums Tanzania Breaking news:Basi la meridiani lapata ajali.

    Ee mwenyezi mungu tunakuomba uwarudishie majeruhi wote afya na hali nzuri amen..
  5. J

    JamiiForums Tanzania Maiti Akutwa na Kete 65 za dawa za Kulevya mkoani Mbeya...

    Duh hii hali inatisha!even me also i hve bn a teller, but sikuwahi kuvusha kwakumeza hata siku moja i real afraid of this..!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumtenganisha mtoto na chumba cha wazazi?

    duuuh yaleo kali!kwakweli huu uzao wa kikwete unapevuka haraka sana,kwa upande wangu naona miaka miwili inatosha kwa mtoto kulala na wazazi,kuna mfanya kazi mwenzangu huwa bado analalaga nawanae wawili (pacha)wanamiaka mitatu,sasa sikumoja wakati anakula tunda akijua kwamba watoto washalala...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

    Habarini wana JF? Hili swa la la bint kufunguka ukweli wake kwa msela duh inatatanisha kidogo coz ata mimi binafc ofc niliopo kuna mabint kama wawili wamewahi kunitamkia ukweli kwamba wananihitaji kimapenzi lakin kusema ukweli mm binafc nilifeel sana kuduu with them but the problem iz, i have a...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

    Duh ila majina ya wahusika yangeliwekwa hazarani ingekua poa sana
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Wewe unaesema wabunge wa chadema nivimeo hawana akili,kiukweli wewe ndohauna akili hata kidogo tena inaonekana unachembechembe za mashoga(gays)siku zote unapotaka haki hauwezi simama huku mikono ipo mfukoni na mguu umeegemeza ukutani nilazima usimame kifua mbele! Jaribu kusoma alama za nyakati...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Tukiachana na upinzani kiukweli kabisa sasa ivi ccm ishapoteza muelekeo ndio maana wanatapatapa kinachotakiwa sasa ivi ni cc wapinzani kukaza buti tuhakikishe wote tunapiga kura,siku zote unapohitaji haki lazima upambane upigani na hata ikibidi damu imwagike ndio upate haki!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo mtoto aliyeolewa akiwa na miaka nane tu: Rasimu ya Katiba imebainisha umri wa mtoto?

    Duh inauma sana kwakweli,minakubaliana na yule aliesema kulikokuzungusha mwenge ni bora ryc awe anazungushwa nchi nzima ilikujionea matatizo yalio vjjn sababu wanaompa kura niwatanzania na sio wananchi wa bara la ulaya anakopenda kwenda kila mara!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa kituo cha Oysterbay mbaroni kwa ujambazi

    Duuh kweli kikulacho ki-nguoni mwako!ipo siku hawa wanaopewaga escot yapolice kupeleka pesa bank watajutia nafsi zao!
Back
Top Bottom