Recent content by Justard zelphine

  1. J

    JamiiForums Tanzania I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Labda mbinu zenu mnazotumia za kuwawinda watu na kuwapoteza! Chaula, Mdude na wengine wengi mmemwaga damu zao
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilosa - Morogoro: Wana-CCM wadaiwa kupata ajali wakiwa kwenye lori wakielekea kwenye mkutano wa Samia Suluhu

    Hii ndo inaonyesha hata kampeni wanazofanya hawajui wanafanya nini
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali dhidi ya Reginald Mengi na Rostam Aziz

    Naawambieni nyie fisadi PAPA acheni kuwatesa wanyonge!mtapata laana kubwa bure
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tunakwenda na Samia 2530

    Kumbe mnatumia nida!!!!??? Vibuyu vya damu za watu vitawalaani! Bado muda utasema!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Tundu Lissu kuhusu Makaa ya Mawe aliyoitoa akiwa Mbamba Bay (Aprili 9, 2025)

    Rostam fisadi papa! Linaimaliza nchi yetu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Msaidieni apumzike. Yanayoendelea hayana comeback

    Kiumbea?? Nenda shule ili uwe unafikiria nje ya box
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

    Chama chake kina desturi ya wagombea kupata wadhamini 250 mikoa ya Tanzania! Je hili zoezi alilifanya lini? Huu uchaguzi ni batili!
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nimecheka sana Baada ya Kuona CCM wamekuja na Tone Tone

    Yanajirudia ya 2005
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe

    Ataachaje wakati ni ccm??
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti INEC: Si kweli kwamba wananchi hawaiamini tume ya uchaguzi

    Wakawadanganye ccm wenzao huko wanaobadirisha katiba ya ccm kila siku!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Freeman Mbowe kutimkia CHAUMMA

    Jiulize baada ya Lowasa kuingia chadema Dr Silaa alienda wapi? Mbowe sio mpinzani wa kweli! Ni mpiga hela tu!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Kikwete kuhusu Ridhiwani kwenye Uzinduzi wa Bandari Kwala ililenga nini, mbona haikuhusiana na kilichokuwa kinafanyika?

    Ina maana watu wa pwani hawana mbadala? Ni familia hiyo hiyo???
Back
Top Bottom