GE2025 Nimecheka sana Baada ya Kuona CCM wamekuja na Tone Tone

GE2025 Nimecheka sana Baada ya Kuona CCM wamekuja na Tone Tone

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndomaana walifanya mkutano mkuu kwa online. Kumbe ni pesa walihongea wajumbe kupitisha jina kiujanjajanja
 
Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone?

Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo?

Baadhi ya wadau wamehoji kwanini CCM imekopy mbinu na taratibu za Chadema mkakati ulioanzishwa na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika na Godbless Lema.

Wengine wamesema ni siasa tu kujaribu kuamsha ari za uchaguzi na kwamba pesa wanazo ila tu wanazuga.

Lakini kama kweli kuna ukata ndani ya Chama ama la hilo lina baki kuwa siri yao.

Kiichonichekesha ni kuja na Tone tone ambayo waliibeza.

Chadema siku zote iko mbele ya muda na muda ni mwalimu mzuri
Hawa watu nahisi wanataka kutakatisha fedha za wizi
Juzi tumeona wamenunua mabasi na magari mapya achilia mbali mamia ya pikipiki na baiskeli huu ni mzaha wa hovyo sana.
Kwa Nini Samia asiombe msaada Dubai na Emirati kwa ujumla badala ya kuwakamua watu maskini bilioni mia moja?
Labda DP,Taifa na Lake oil wabebe mzigo wote.
 
Ccm ni Chama kikubwa, pia kimewekeza na kina miradi mingi. May be matumizi yameongezeka.

Lakini kuja na Tone Tone wametuchekesha kweli
 
Hao ni wezi hiyo ni zuga tu fedha za umma wamekwapua kwenye sukari n.k. na kununua baiskeli kila mkoa na kijiji pamoja na pikipiki kila mkoa halafu leo waseme hawana hela ! Msidanganyike na haonwezi wa nchi yetu hayana huruma hata kupoteza watu yakikosolewa.
 
Tetesi zinasema kwamba,mwenye nchi hakubariki manunuzi ya bodaboda na baiskeli,kwahiyo amedai fedha irudishwe.

Kwahiyo lazima wachange..

NB: Hii ni tetesi.
 
Hao ni wezi hiyo ni zuga tu fedha za umma wamekwapua kwenye sukari n.k. na kununua baiskeli kila mkoa na kijiji pamoja na pikipiki kila mkoa halafu leo waseme hawana hela ! Msidanganyike na haonwezi wa nchi yetu hayana huruma hata kupoteza watu yakikosolewa.
Mkuu una uhakika mbona unawatuhumu vibaya?
 
Wameona wachukue na pesa kidogo za maskin wenye shida ..hata buku yako wanaitaka...
 
Back
Top Bottom