CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 18,190
- 34,272
Hiyo haki anaipata baada ya kushindwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema?.? Na huko akishindwa kupata anachotaka kwa maslahi yake binafsi atakikimbia hicho Chama maana yuko Kimaslahi yake binasfi.Hii ni hofu. Kwamba Chaumma kitakuwa chama kikuu cha upinzani na hivyo CDM kuzikwa kabisa kabisaa.
Mbowe ana haki kugombea popote (hata CCM ?)
Tatizo ukishakula hela za watu zina masharti magumu hivyo usiwashae huwezi jua covenants za hela zinawataka nini kwakupenda au kwakutokupendaMhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.
Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.
Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.
Nawasilisha.
Mkishajua itawasaidia vipi CHADEMA kuingia ikulu?Mbowe kwani yeye hataki heshima? Akihama tutajua kweli kalishwa Asali yenye limbwata!
Always avoid brown pasture!Hiyo haki anaipata baada ya kushindwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema?.? Na huko akishindwa kupata anachotaka kwa maslahi yake binafsi atakikimbia hicho Chama maana yuko Kimaslahi yake binasfi.
Trust Mbowe for your own peril !!
Mbowe is going to be called Political Grasshopper who looks for greener pastures
Nitarudia, I have said categorically that I am not a fan of Mbowe's politics/or a follower of Mbowe. My point is this:Retired anasemaje kwani?
NimekuelewaNitarudia, I have said categorically that I am not a fan of Mbowe's politics/or a follower of Mbowe. My point is this:
1. Lisu was my favorite politician of all time! But the kind of campaign he waged against Mbowe was not the kind of a reasonable /right-thinking member of a society would expect from a learned man like Lisu.
By whatever measure, Lisu was not supposed to go that far with a character assassination campaign... that was not a campaign but a character assassination move! Ni hilo tu! Short of that, Lisu is very smart in all aspects of Law and politics!
Sasa la Mbowe kujiunga Chaumma,........ yamefanyika na wengi akina Lowasa, Sumaye, Nyarandu wakaja chadema. When the time was ripe, they made a 360-degree turn back to CCM.
ALL IN ALL NISINGELIMSHAURI AFANYE HIVYO, ITASHUPOTEZA "DHAHABU" NA "THAWABU" ALIVYOVIKUSAYA MIAKA 40 ILIYOPITA!
Wala hata sio 2030...Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.
Nakushauri achana na wazo hilo usije ukajuta baadaye. Wewe umeikuza, umekilea CHADEMA mpaka ilipofikia. CHADEMA inapendwa, CHADEMA iko kwenye mioyo ya Watanzania licha ya misukosuko inayopitia. Wewe vumilia 2030 siyo mbali kama Mungu akikuweka hai. CHADEMA itatisha 2030 na italeta mabadiliko makubwa sana.
Nakushauri achana na mawazo hayo, umetoka mbali na CHADEMA. Umepata maumivu mengi kupitia CHADEMA. Vumilia Ndugu yangu. Mambo mazuri hayataki haraka.
Nawasilisha.
Ni hadi lini wapumbavu wata amini kuwa mbowe ni mpuuzi 🙄🙄🙄Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo.