Gwappo Mwakatobe
R I P
- Nov 22, 2019
- 1,796
- 2,345
2530 hiyo ni karne ya 26! Kwa sasa tuko karne ya 21. Ni takribani miaka 500 ijayo ambapo sisi tuliopo, watoto wetu, wajukuu wetu na hata vitukuu wetu; hakuna atakayebaki hai!2530?!
Kweli wamechanganyikiwa!