He is talking about God not Gods elewa swali. Again Christian God is God not Jesus ( Jesus is a son of God ) kwa waislam sifaham zaidi. Kwahiyo swali lake ni kwa mungu sio miungu 🙏🏾🙏🏾
Ila bongo 😂😂 kwahiyo tumeyakumbuka sasa hivi baada ya yeye kurudi CCM ?? KWANINI hatukuhoji akiwa CHADEMA? Au mtu akiwa chadema anakuwa msafi ila akitoka anakuwa mbaya. Kama tuliamua kunyamaza akiwa huku basi kaamua kuondoka tumuache ale maisha 😂. Sema SIASA ZINABOA SANA MUDA MWINGINE
Ilikuwa hivo ila inatakiwa ibadirishwe sehemu. Mfano una sababu ya kusafiri mfano unaenda kutembea tu Kenya au kukutana na rafiki yako Kenya au nchi yoyote bado wanakudai uoneshe barua ya mwaliko wa huko unakotaka kwenda.
Nimesoma post na comments kwanza then ndiyo niongee nacho kifahamu pia.
Kuna mdau kasema kuwa hawapigi kura sio kweli kwanza watu wa aina hii hawajulikani ni akina nani ni jinsi gani na ni wangapi ila ni binadamu kama sisi ( inasemekana na wengine wapo wasio binadamu wa kawaida) na kura wanapiga...
Sijaisoma thread nzima ila imepata point. Hapa kuna mambo Matatu ( Texas, Ann Doe na Abortion) swali langu hivi kufanya abortion ni kutoa kafara ?
huko Texas kulikuwa/ Kuna sheria inayo mruhusu mwanamke kutoa ujauzito wake, lakini sheria hii imechange kidogo kuwa utaruhusiwa kutoa lakini lazima...
Hilo swali nishalifikiria sana hadi silipatiii majibu. Binafsi naona haiwezi kuwezekana ile walijaribu kufanya vile ila haiwezi kuwa reality. Ninacho weza kukiamini ni kuwa ukienda mbele au kurudi nyuma hauwezi kuchange kitu chochote labda utashuhudia tu. Kuna muda nawaza ukirudi nyuma huenda...
Swali alilo uliza linahitaji majibu kwa fact sio kuachama na maneno kudondoka. Wewe umejibu kwa shali Wakati ameuliza kwa nia ya kuhitaji kufahamu. Si bora ungekaa kimya kama sisi wengine ambao hatuna majibu tunasubiria wenye uelewa wa hili watoe majibu. Tanzania sijui akili zetu zilienda wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.