Magomeni lkn sura nyingi zilitoka mbagala na sehem zingine,.chakula kimegeuzwa lkn mwisho wa siku yakageuka kuwa mchele na maji..
Kuna dada alitala afunguke aliyepandisha lkn walimuwahi hawakumpa nafasi
Siku ya Jana nilihudhuria Moja ya msiba hapa Dar es salaam.Msiba huo ulihudhuriwa na watu wengi akina mama,baba,wazee na vijana.
Kituko kilikuja pale chakula kilichokuwa kinapikwa kutokuiva wakati wapishi waligeuza wali na kufunika kwakuwa maji yalikuwa yamejichuja yote cha kushangaza Kuna dada...
Hawakuwa wanamuziki bali walikuwa masela wa tandika Soweto ambao walikuwa ni marafiki sababu maskani ni zile zile ..hivyo vifo vyao vilishtua na kuacha majonzi
Tanzania sio Simba na yanga
Winga tepsie Evans Azam wamempandisha kutokea
Chini na amefanya vzr na wapo wengi kwa Azam
Kiuhalisia timu zetu hazina academy Bali Kuna timu za vijana na kuhusu vijana kutoka chini kupewa nafasi timu kama mbeya city imefanya hivyo sana Richardson ng'ondya kipaji...
Hawa ndio makinda wanaotabiriwa kufanya makubwa mbeleni
1. CYPRIAN KACHWELE
Amezaliwa November 2007 ana miaka 15 ni mshambuliaji aliyekulia kwenye academy ya Azam na anayefanya vizuri kwenye kikosi Cha Azam na anayetazamiwa kuwa rashford wa Azam.
3.CLEMENT MZIZE
Ni mshambuliaji wa yanga...
Datius peter Moja ya fullback 2 mzuri kwa msimu wa pili mfululizo..Tokea akiwa polisi tz alikuwa na kiwango kizuri Hadi Kagera wakamsajili.yupo offensive na anakaba
Yahya mbegu Moja ya fullbeki 3 ninayemtabiria makubwa mbeleni tokea polisi tz alifanya vizuri Hadi geita wakaona kipaji chake na...
Kata nyingi Dar es salaam ukiacha mitaa ya kishua kama masaki,osterbay,msasani,upanga na nyinginezo zinazofanana na maeneo hayo pia kuna kata za kistaarabu yaani za wastani kidogo zina afadhali na unafuu
Lakini asilimia kubwa za kata jijini Dar ni mchanganyiko ya wa walionacho na wasio nacho...
Ww acha ubishi
Nyuma ya goli ya kiwanja kikubwa kuna miti miti mingi na kuna mapira yapo hapo kuna maskani kibao ya ganja ikifika jioni watu kama wote wamejaa kila mtu na maskani yake na mapusha kama wote
Kuna pusha mmoja apollo sijui bado yupo hio 2020 2021 na wengine kibao ilikuwa jioni...
_usiku usipende kutembea
_ishi na majirani na watu wanaokuzunguka vizuri
_tafuta mwenyeji ujengee nae urafiki kama ni kijana ili uzoeleke na kidogo uishi kwa amani
Kaburi moja ,maputo ni uswahilini na kuna ujinga ujinga mwingi na usela mavi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.