Recent content by jumys5ya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nape, Sisi siyo wahuni; Sisi ni Wataka Mabadiliko ndani ya Chama

    Kutokana na kauli ya Bashe, mhusika wa viupeperushi hivyo ni Benard Membe, otherwise ajitokeze hadharani kukanusha madai hayo!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Linza Concrete Designs-that collapse!!!!!

    Hii picha ina maswali mengi sana ambayo hayatakuwa na majibu hata siku moja, hizo nondo ni kutoka sehemu gani ya hilo jengo, maana slab inaonesha nondo zake bado zipo. Si vizuri kuchafua jina la mtu kwa sababu zako mwenyewe Great thinker!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nape, Sisi siyo wahuni; Sisi ni Wataka Mabadiliko ndani ya Chama

    Hawa ni wahuni tu, Nepi hakukosea, kwani i. Hawawezi kujitokeza hadharani na kuyasema hayo ii. Hawana uwezo wa kusema hadharani, Mwenyekiti mbadala wamtakae ni nani waache wafu wazikane
  4. J

    JamiiForums Tanzania blackberry 9300

    Yangu bado inasumbua
  5. J

    JamiiForums Tanzania M-Pesa Luku

    Tigo Pesa na M pesa katika Luku wote ni wahuni tu, hata kama mtandao mbovu, lakini kwanza wanakata ela bila ya kukupa i salio lako la luku
  6. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe agombea kipaza sauti na kupelekea kuzomewa na wapiga kura wake

    Mtengeti unachokiongea ni uzushi mtupi! anachokueleza kinauche ni kweli kabisa, hakukuwa na zomea unayoisema. Prof alishuka baada ya kuelezea vizuri kabisa sababu za maji kutokuwepo, pia na mikakati iliyopo,ukosefu wa walimu na tatizo la mradi wa umeme na ndiyo rais akaipigia mistari. Tatizo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wa Dume Challenge Vipi?

    Lakini hiyo ni kawaida yetu sisi watanzania, mara nyingi vitu vingi tunavijua lakini tupo slow sana kwenye kufukiri, tofauti na wenzetu wa Kenya na Uganda
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe kuanika ripoti ya vigogo TPA

    Kama wakati wa ripoti ya uchunguzi wa Richmond, Mhe aliweza kuficha baadhi ya mambo ili kunusuru nchi, ni vipi katika ripoti hii ataweza kutoa ukweli wote?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Fareed kujiteka na kisha kujirudisha kwake ukweli wabainika ya Mbagala

    Intelijensia ya polisi Inasemaje,
  10. J

    JamiiForums Tanzania Katibu ccm Same adaiwa kukamatwa na Takukuru

    Maskini CCM!!
Back
Top Bottom