Katibu ccm Same adaiwa kukamatwa na Takukuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu ccm Same adaiwa kukamatwa na Takukuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MADORO, Oct 18, 2012.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Taarifa nilizopata muda mfupi uliopita, kutoka kwa mdau Mkoani kilimanjaro ni kwamba Katibu wa CCM wilaya ya Same amekamatwa na Takukuru kwa tuhuma za kutoa rushwa kwa wajumbe wa Chama hicho katika uchaguzi wa chama hicho unaoendelea mkoani humo

  Inasemekana alishikiliwqa kuanzia asubuhi na kuachiwa saa sita mchana baada ya kutolewa agizo kutoka katika ofisi ya Takukuru mkoa

  Tafadhal mwenye taarifa sahihi atuhabarishe nami naendelea kufuatilia
   
 2. j

  jumys5ya Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maskini CCM!!
   
 3. S

  SINDBARD Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida yao rushwa kwa ccm imehalalishwa
   
 4. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  TAKUKURU na kambi moja ya CCM lao moja.
   
 5. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  inawezekana kale kabibi kapo kifala ****. nipeni dakika 10 nitathibitisha
   
Loading...