Habari zenu wadau! Ninaomba mnifahamishe ni wapi vinapatikana vyuo vinafundisha laboratory technical kwa ngazi ya diploma hapa nchini na sifa za kujiunga, natumaini mtanisaidia mana kuna dogo nataka nimpeleke.
Kwa Nini Usubiri Mpaka Uingie Madarakani Dr! emu weka utaifa mbele wasilisha kunakohusika huo mpango mkakati wako utakao utumia sasa ili taifa lifaidike. nchi ni yetu sote na hiz changamoto ni zetu sote, weka utaifa mbele kuliko chama.(pamoja tujenge tanzania yetu), mungu ibariki Tanzania.
Mi Napita Tu Ngoja Nikaangalie Kadi Yangu Ya Kupigia Kura Kama Ipo Salama Mahali Nilipo Iweka Mana Siku Zinaenda Na Sioni Taratibu Za Uboreshaji Wa Daftar La Wapiga Kura Ukifanyika.
Kweli Nimeamini Mwanasiasa Muamini Anapotaja Jina Lake Tu Vingine Vyote Anavyozungumza Ni Uongo, Hivi Inawezekana Kweli Mtu Akatumia Mwaka Mmoja Kujenga Uchumi Unaotegemea Viwanda! Tena Viwanda Mama Kama Vya Magari, Ndege Na Vipuli Vya Aina Mbali Mbali, Dr Nakuomba Tafakari Kauli Yako Mara...
Baada Ya Muheshimiwa SUGU kuonyesha kwamba wanabongofleva wanaweza siasa kuna baadhi ya wasanii nao wanataka kuingia ulingoni kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu hapo mwakani, wasanii hao ni MKOLONI jimbo la Tanga Mjini Kupitia CHADEMA, AFANDE SELE morogoro mjini CHADEMA na JUMA NATURE temeke...
Napafahamu kaka ila si mbunge wala serikali ya mkoa wote wapo kimya yeye MALOLE(mbunge) anasubiri muda wa uchaguzi akawape pombe na doti za kanga ili wamchugue, namkumbuka wakat akitaka kura alivyokuwa anatembelea vijiweni kwa kuustarabu kuzungumza na vijana juu ya dodoma mpya ila leo anatuona...
Japokuwa Umepata Bahati Jimbo Lako Halina Changamoto Nyingi Kama Lile La Mzee Wa Kusinzia Pale Mjengoni, Kwani Miundombinu Ya Barabara Na Maji Pamoja Na Huduma Za Kijamii Kama Hospital Na Shule Zote Zinajengwa Na Kukurabatiwa Na Serikali Pasipo Na Msukumo Wako, Hii Imekufanya Ukae Kimya Kama...
Kama Unajiusisha Na Biashara Tajwa Hapo Juu Nipigie 0765111010 ili nikuonyeshe soko lilipo sio kukaa tu na bidhaa hapo kariokoo, tukiaminiana tunaweza form uhusiano wa kibiashara, ila uwe unauza kwa bei ya jumla.
NINI HATIMA YA KIUNGO WETU KIPENZI JUAN MATA! MANA NAONA KAMA MFUMO UNAMUWEKA KANDO, KUNA TETESI PIA CHELSEA WANAMALIZIA DILI LA KUMSAJILI FREDY GUALIN KUTOKA INTER. NADHAN MUDA WA ESSIEN KUONDOKA UMEFIKA PAMOJA NA BA,OR=#0000ff]
[/COLOR]
The Chelsea players celebrate after the win
[/CENTER]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.