Recent content by jumba adebayor

  1. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Wengi wao wanatukana fatilia utakuja niambia.
  2. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Hii ni sawa na kusema kwahiyo Mungu aliumba walevi,wezi,mashoga,makahaba,wavuta bangi.......skia nikueleweshe kidogo Mungu aliumba vitu safi lakini watu huja kujialibu wenyewe kwa mitazamo yao na vishawishi vya shetani kwahiyo huwezi ona mwizi ukasema tumuache tu eti kwa sababu kaumbwa na Mungu...
  3. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Kitu Mnachoshindwa kuelewa israel hata ichangiwe na Dunia nzima hawawezi kushinda maana lile ni Taifa Teule.
  4. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Hapo ndiyo mnapokosea. Kusema eti ubaya unatoka kwa Mungu. Ndugu yangu Mungu siku zote anatuwazia Mema lakini kwa sababu shetani na majini ambao wote kwa ujumla walimuasi Mungu ndiyo vyanzo vya matatizo kwa watu lakini kwa sababu Mungu yupo ndiyo anatusaidia. Kama ni kweli hujawahi enda kwa...
  5. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Kabisa wewe je wako unamjua?
  6. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Eti majini viumbe wa Mungu..mbona yakiwakaba hamuendi kwa Mungu kumwambia kuwa viumbe wake wanafanya vurugu ila mnakimbilia kwa waganga kila kukicha ma huku idadi yenu inapungua kwa kuuliwa na majini.
  7. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Sisi hatutokani na papa mzee......Sisi tunamfata YESU KRISTO WA NAZARETH ambaye alikufa na kufufuka na ipo siku moja atarudi na kila jicho litamuona na kila Ulimi utakiri Ya kuwa YESU NI BWANA.
  8. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Kwanini nyinyi mnajulikana kwa matusi. Hivi amuoni hutofauti wa comment zenu na zetu.
  9. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Upo sahihi ndugu.......unakuta mtu anakwambia eti inamaana wewe haujui kuwa Jews sio wakristo sasa unatwambia sisi wakati Biblia inajieleza kila kitu. NDiyo maana hawawezi kuelewa hata Yesu mara ya pili atakuja kufanya nini? Wao wamekalia matusi tu na hapo ndiyo kipimo kidogo cha maadili ya dini...
  10. jumba adebayor

    Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

    Upo sahihi sana....Unajua kuna maarifa fulani mtu ujipatia akisoma BIBLIA.....Mfano Hesabu hii ya YESU NI MUNGU nakwambia Bila msaada wa Mungu huwezi ambua kitu.
  11. jumba adebayor

    Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

    Hahahah ndiyo hvyo man....napiga issue nyengime now plus fx kwa mbali
  12. jumba adebayor

    Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

    Aina noma mzee kuna mwanangu jina nae juma mpemba nilipig nae pande za IFM pale yupo TRA biaramlo bukoba now.angecheka sana kuona kijana wake majanga yameniandama.
Back
Top Bottom