Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

nimekuelewa
sasa tumshauri mleta Mada yeye anataka achote nyingine tena baada ya 5M kuliwa
ukihesabu zote alizokusanya na kucheza huu mchezo kaliwa na ana akili ya kupata nyingine lkn hajui kutunza anazirudisha zote huko, mrija ukikata ndio atajua pombe sio chai
hiyo michezo nimecheza sana na sikupata mwisho mzuri, kina Ontario, kina D9, kina DLND, Forever na sipendi wenzangu waingie kwani mumu humu walitukanya tukawatukana, sasa Donaldo alipoondoka Kampala kurudi Uganda viongozi wetu tayari walikuwa na ma-Harrier, BMW 3. kwa hiiyo Apex au scum walio juu ndio wanatajirika na huwezi washtaki lkn wataishi km kuku watatapanya na hatafaidi pesa za wanyonge wa chini

Advice: From today learn to differentiate between Online Business and Networking Business...most Tanzanians fail here.

And claim there is a lot of wealth Online than any other area in current world.

Thanks me leter.
 
i ve already said all those are scammer game /Internet frauds
Internet fraud is a type of fraud or deception which makes use of the Internet and could involve hiding of information or providing incorrect information for the purpose of tricking victims out of money, property, and inheritance.Internet fraud is not considered a single, distinctive crime but covers a range of illegal and illicit actions that are committed in cyberspace
Here’s our list of over 70 common online scams to be aware of .......
70+ common online scams used by cyber criminals & fraudsters in 2018
 
You see my Reply via internet/Online Boss.
You download/Copy that contents in Internet/Online Boss.
You post it Via internet/Online Boss.

.
 
kijana achana kabisa na hizo kamari za Forex tafuta tangible things sio kufanya vitu vya kusadikika
 
Kijana mwenzangu pole sana kwa unayoyapitia i know how painfull its to blow account , ushauri wangu kwako kama bado utahitaji tena kufanya forex , fanya self evaluation ujue unakosea wapi , hakikisha umejua wapi unapokosea then kasome tena na tena ufukie loop holes zako baada ya hapo tengeneza trade plan yako anza kuifanyia mazoezi kwenye demo pasipo kuvunja misingi ya trading plan yako then make sure ume imster na inakuoa matokeo bora 70/30

Kitu kingine market makers wana ujanja ujanja sana make sure unajua how to beat them i recommend kamsome Steve mauro how to beat market maker .Ni hayo tu chief , Nikutakie mafanikio mema mkuu
 
nimeshindwa kumaliza huu Uzi maana nimejikuta nacheka sanaa😂😂😂
kama mazuri vilee, sema nini pole sanaa kijana I feel you
 
kijana achana kabisa na hizo kamari za Forex tafuta tangible things sio kufanya vitu vya kusadikika
Hawa watoto hata uwaambie hiyo biashara ni wizi wa kupitia Internet wanabisha
waache waingie watatupa majibu
 
Dah pole sana, kitu nachokiona kwako ni kutokukata tamaa kabisa ya kupambana, me nakuomba ebu jaribu kubadilisha upepo wekeza kwenye real biashara achana na forex, una elimu ya biashara naamini ni moja wapo ya kitu muhimu zaidi epuka kwendelea na kitu kinachokusononesha na kupoteza pesa mingi kila wakati.
 
Sitasahau Mwaka 2017- 2018 ulikuwa Mwaka mchungu sana kwenye maisha yangu Baada ya kukutana na hii fursa ya forex. Nilipoteza pesa nyingi sana na muda. Nilitumia akiba ikaisha, nikauza gari labda nitarejesha hasara zangu, unapata leo profit ya $ 500 unafurahi kesho napoteza $ 2000, Mwisho gari ikaondoka, nikakopa benki dhamana nyumba, nilikopa Milion 10 pesa ikaondoka yote, Kuna shamba nilinunua huko Bagamoyo kama heka 5 nikauza kwa bei ya kutupa milion 9 nikawapa madalali Milion 1 nikabaki na 8 nikaenda, nikapigwa.

Nikafikia hatua mbaya hasa ya kuanza kuuza vyombo vya ndani, nikauza flat, nikauza set sofa nzima hahahaha jamani acheni ndugu nilichanganyikiwa. Mke ananishangaa tu. Mwisho nikasema yatosha, siwezi kuendelea kumfuraisha broker.

Bahati nzuri nilikuwa na pangale halijaisha Kigamboni, nikafanya mpango nikatafuta mteja kabla benki hawajaja kufanya yao, nikauza hii nyumba niliyokopea bei nzuri tukaenda benki Mteja(alikuwa mteja muelewa) akalipa deni la benki tukapewa hati tukaja tukamalizana. Pesa nikapeleka kumalizia pangale nikahamia nikawa nimebaki na kama milion 25 mkononi nikakimbilia kwenye korosho maana ndio ilikuwa biashara yangu kubwa, kilichotokea naamini mnakijua, Mpaka leo ninavyoandika Hapa pesa yangu haijarudi, Vitu ninavyofichukia kwenye maisha yangu kwa sasa ni Magufuli na Forex Mungu awatie lawana hawa mbwa. Leo kula yangu ya mashaka, napigania dadalala?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha yako imenichekesha sana!!!
Polepole anacheka hapo watoto mmoja analia mwingine amekasirika INA maana gani mkuu?
 
tatizo wala sio magufuli au forex, tatizo ni wewe kupenda utajiri wa haraka.
utajiri ni mchakato na sio suala la kulala na kuamka na sometimes inaweza kukuchukua hta miaka20 mpaka kuikamata status ya utajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitasahau Mwaka 2017- 2018 ulikuwa Mwaka mchungu sana kwenye maisha yangu Baada ya kukutana na hii fursa ya forex. Nilipoteza pesa nyingi sana na muda. Nilitumia akiba ikaisha, nikauza gari labda nitarejesha hasara zangu, unapata leo profit ya $ 500 unafurahi kesho napoteza $ 2000, Mwisho gari ikaondoka, nikakopa benki dhamana nyumba, nilikopa Milion 10 pesa ikaondoka yote, Kuna shamba nilinunua huko Bagamoyo kama heka 5 nikauza kwa bei ya kutupa milion 9 nikawapa madalali Milion 1 nikabaki na 8 nikaenda, nikapigwa.

Nikafikia hatua mbaya hasa ya kuanza kuuza vyombo vya ndani, nikauza flat, nikauza set sofa nzima hahahaha jamani acheni ndugu nilichanganyikiwa. Mke ananishangaa tu. Mwisho nikasema yatosha, siwezi kuendelea kumfuraisha broker.

Bahati nzuri nilikuwa na pangale halijaisha Kigamboni, nikafanya mpango nikatafuta mteja kabla benki hawajaja kufanya yao, nikauza hii nyumba niliyokopea bei nzuri tukaenda benki Mteja(alikuwa mteja muelewa) akalipa deni la benki tukapewa hati tukaja tukamalizana. Pesa nikapeleka kumalizia pangale nikahamia nikawa nimebaki na kama milion 25 mkononi nikakimbilia kwenye korosho maana ndio ilikuwa biashara yangu kubwa, kilichotokea naamini mnakijua, Mpaka leo ninavyoandika Hapa pesa yangu haijarudi, Vitu ninavyofichukia kwenye maisha yangu kwa sasa ni Magufuli na Forex Mungu awatie lawana hawa mbwa. Leo kula yangu ya mashaka, napigania dadalala?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wewe hutofautiani na mleta mada. Ulikuwa na tamaa ya kupata pesa ya haraka.
Trader mzuri hawezi kuunguza milioni 10 kizembe.

Forex ukiwa na mtaji wa dola 3,000 utamake hela nzuri tu.

Kika siku unaweza kujiwekea lengo la dola 50, hiho ni hela nyingi sana kwa maisha ya mtanzania.

Katika dola 50 ulizojiwekea kupata kila siku kutokana na huo mtaji utakuwa unatoa dola 15 za msosi unabaki na 35 baada ya mwaka watu watakushangaa sana.

Nmecheka sana aisee.

Nipe dola 1,000 nikutradie kila siku ntakuwa nakupa elf 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom