Habari wakuu,
Yapata muda mrefu sasa tangu hii (sijui niite biashara au kamari) ya kubeti iingie nchini na kwa mtazamo wangu naona kwamba imepata na kuendelea kupata wafuasi wengi sana hasa kwa kipindi cha hivi karibuni ikiwa ni watoto, vijana, watu wazima, mabibi na hata mababu kuvutiwa na...