Recent content by jumanneliputu500

  1. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

    Mh utawapata haohao sasa hvi mwendo moja tu alina ukimwi ukijitia kidume huna maisha Sasawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
  2. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar hii kuna watu bado wanatumia mkaa badala ya gesi kupikia?

    Ndugu yangu wwe mtu unauza mkaa kipomo hdi mia sita mtu anakuja na jero anakuomba ssa hyu nae umwambie mambo ya gesi si chai na mapera asubuhi ananunua wa jero jioni jero maisha bdo sna alafu tofautiaha dar ya 1999 na sasa mji umetanuka sna zamani mji unaanzia tandika kwenda mbele
  3. jumanneliputu500

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Wanaofahamu dawa ya stress na maumivu ya mapenzi

    Kuna dawa za kupunguza msongo wa mawazo bt nimezisahau kwa jna waone madaktali
  4. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Kuota unaokota hela tena coins ina maana gani?

    Hta ifike karne ya 100 ndoto zitakuwepo na zinamaana zke
  5. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Kuota unaokota hela tena coins ina maana gani?

    Kuota unaota ela zikiwa ni sarafu tupu jua utapitika kipindi kigumu sna bt baadae kwa uwezo wa mngu yataisha
  6. jumanneliputu500

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda san lakin ni msaliti.

    Ndugu yngu huruma yaponza muache atakuua
  7. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Tumbo kuunguruma, nini tatizo

    Mh utakuwa na vidonda mmi nasumbuliwa na hali hyohyo juzi tu nimeenda pima nimekutwa na vidonda vya tumbo kapime kwanza
  8. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kamera ndogo

    Betri na kuchaji
  9. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kamera ndogo

    10.1 nimepost na picha hyo
  10. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kamera ndogo

  11. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kamera ndogo

    Swaiba mmi ninayo sony bgs 10 nauza laki na kumi mwisho ipo vzr snaa tu sema upo wapi nikuletee mali
  12. jumanneliputu500

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

    Wwe hata hao mababu ztu walisalitiwa kwa aina yake zamani mabibi wanaenda visimani ndani ya ndoo zao wanaweka wali na wanawapelekea mabasha zao porini usaliti upo tu cha msingi ukiingia kwenye ndoa jiandae na maisha mapya ya subra na uvumilivu kma hutoweza basi jua utakuwa na watoto hta kumi na...
  13. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Prince Nillan Afanana na tiffa copyright

    Angalia kwanza wwe na baba mnafanana?tofauti kabisaaaaaa
  14. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Prince Nillan Afanana na tiffa copyright

    Wwe mwenyewe umeambiwa tu na mama yako huyu ndio baba yako ssa wwe unahakika na hilo acha zarau
  15. jumanneliputu500

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

    Du njaa yko wwe unampangia mtu matumizi kila MTU hutumia kutokana na kipato chake kza nawe utapata,angaliaaaaaaaaaaaaaaàa!
Back
Top Bottom