Tumbo kuunguruma, nini tatizo

Tumbo kuunguruma, nini tatizo

Mkuu MziziMkavu,nashukuru kwa utabibu wako.Cha kukulipa sina ajuaye Mola.
 
Hujatuambia wewe kwanza ni Mwanamme au Mwanamke? mbona unatuchanganya? Nijuavyo mimi kuhusu ( Chango la tumbo ni ugonjwa wa wanawake) sasa wewe ni

Mwanamke? Kwa wanaume wanapata ugonjwa wa ngiri sio chango la tumbo. Hebu fuata ushauri wa mkuu

MziziMkavu hapo chini utafanikiwa.Ukiwa na ngiri inaweza kukupunguzia nguvu za kiume na kama unataka

Dawa za kuongeza Nguvu za kiume tembelea hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

Mkuu jamadari,nashukuru sana kwa mchango wako. Nimejitahidi kufunguka ili msaada nitakaoupata usiwe kwangu tu! Najua matatizo haya huwakumba wengi na tiba yake mara nyingi husumbua kama tatizo lenyewe halieleweki vizuri! Nimepata kusikia kuwa kama mwanamke ana chango basi anaweza kumwambukiza mwanaume yeyote yule anayekutana naye kimwili! Je,kuna ukweli wowote ule?

Tiba ya ugonjwa wa ngiri kwa wanaume na chango la tumbo kwa wanawake ni nini basi? Manake wamasai na watu wengine wanaouza mitishamba wamekuwa wakiuza madawa asilia ambayo yameonyesha kutokuwa na mafanikio mazuri!
 
Nime-experience kuunguruma tumbo kwa aina mbili. Moja ni hii ya kuwa na gesi tumboni. Lakini kuna wakati hasa ulichelewa kula mida mfano usinywe chai asubuhi kufika saa 4 au 5 hivi kunakuwa na miungurumo ya tumbo. Miungurumo hii hata huwezi kuizuia inatokea tu very soft and low sound. Wakati mwingine ni kama tumbo linatokota kidogo. Je hiyo ni nini?
 

UMUHIMU WA KUSAFISHA UTUMBO MPANA
Kuna sababu 18 ambazo zinkupelekea ULAZIMIKE kusafisha utumbo wako MPANA. HILI ni eneo ambalo uchafu wote ambao unahitajika kutoka kwa njia ya haja KUBWA UNAKWAMA.
1. UCHAFU HUO HUPELEKEA WADUDU WENGI KUISHI ENEO HILI KAMA BACTERIA,VIRUS, MINYOO YA KILA AINA NA UKUBWA MBALI MBALI
2.VYUMA KUTOKA VIWANDANI NA MASUFURIA YA ALUMINIUM YATUMIKAYO KUPIKIA
3. MAFUTA YALIYOGANDA KWENYE KUTA ZA TUMBO
4. MAWE

5.PRESERVATIVES( KEMIKALI ZINAZOZUIA VITU VINGINE VISIHARIBIKE)
MKUSANYIKO WA UCHAFU WA AINA ZOTE HIZI HUSABABISHA MATATIZO NA MAGONJWA YAFUATAYO;
1. KUTOPATA CHOO MARA MBILI NA ZAIDI KWA SIKU
2.KUWA NA GESI TUMBONI
3. TUMBO HUCHAFUKA MARA KWA MARA
4.MATATIZO YA MAGONJWA YA MOYO
5.KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME
6.MATATIZO YA HEDHI
7.UTI SUGU
8.KIUNGULIA
9.GANZI YA MIGUU NA VIDOLE
10.MIFUPA KUVIMBA
11.KUBADILIKA BADILIKA KWA KIWANGO CHA SUKARI KATIKA DAMU
12.MAUVIMBE MWILINI NA SARATANI YA TUMBO
13.MAGONJWA YA NGOZI
14. KUKOSA USINGIZI NA KUMBU KUMBU
15.MWILI KUKOSA NGUVU
16.HARUFU MBAYA MDOMONI NA KIKWAPA
17.MACHO KUTOONA VIZURI
18. UVIMBE WA TEZI DUME(PROSTATE GLAND)
4LIFE FIBRE SYSTEM PLUS | Afya4life
UNAWEZA KUSAFISHA TUMBO HILO KWA KUTUMIA 4LIFE FIBRE SYSTEM PLUS( 10 DAYS) AU kwa KUTUMIA TEA4LIFE KWA MUDA WA SIKU 30. MAWASILIANO NI 0659-649891










 
Wapendwa salam.Naomba kujua ni kitu gani kinapelekea mwanaume kuwa anaunguruma tumbo muda wote na je matibabu yake ni yapi?
 
Kweli kabisa, je hii ni nini hasa, kuunguruma na kushindwa kupata choo, wengine wansema ni mshipa
 
Kuna majani yanaota kwenye mchanga unachemsha na mizizi yake ilo tatizo baibai.Kana una gesi,mshipa na madonda ya tumbo kwisha habari yake.
 
Kaka naomba nami ninasumbuliwa na tumbo hivyo hivyo, naomba unisaidie na jina la hizo dawa tafadhali...
 
minyoo hiyo kula dawa ya minyoo
Dawa yake ni Albendazol/mebendazol. Kwa kuwa ajala dawa ya minyoo kwa muda mwingi anatakiwa ale zile zinaitwa Zentel, Zinauzwa 5000 na kuendelea
 
Nashukuru Mkuu ntafanyia kazi hasa hili la maji ila kwa upande wa muda wa ula kwa kweli muda wangu upo fixed sana sbb kila siku saa sita kamili nakula lunch saa kumi na mbili kamili napata dinner na hunywa maji immediately baada ya kula labda hapa ndipo nakosea. Thanks
Sio kweli mkuu iyo ni minyoo
 
Wadau naomba msaada wenu, tumbo langu linaunguruma sana hadi nakosa amani, halafu nikienda haja sipati kitu na pia shemu ya chini ya tumbo na kiuno nahisi maumivu,na tumbo linakuwa kama limejaa gesi. ni nini tatizo?? na nini dawa yake? ahsanteni wandugu.
Hizo ni dalili za vidonda vya tumbo, kabla ya kuangaika kutibia chochote hebu kapime vidonda vya tumbo kwanza
 
Mh utakuwa na vidonda mmi nasumbuliwa na hali hyohyo juzi tu nimeenda pima nimekutwa na vidonda vya tumbo kapime kwanza
 
Back
Top Bottom