Kuota unaokota hela tena coins ina maana gani?

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
915
752
Ndugu zangu habarini za asbuhi.
Kama nilivyodokeza hapo juu,nimeota eti naokota hela coins tena zaidi ya moja 50,100,200,500...nyingi tu .

Kwakweli baadala ya kufurahi binfsi nimeamka naogopa kwani sijalichukulia kama ni jambo jema kwangu,niombe anaejua maana yake anifafanulie...
IMG_20170326_160445.jpg
 
Simple. Baada ya week Tatu tegemea kuwa millionaire mkubwa sana Tanzania. Hiyo ndiyo maana yake
 
Bado karne ya 21 unaishi kwa superstition! Unaamini ndoto as if you did not study biology. Kwa nini unakunya mavi, unatoka jasho, unakojoa etc, mbona hilo huuliziz?
 
Bado karne ya 21 unaishi kwa superstition! Unaamini ndoto as if you did not study biology. Kwa nini unakunya mavi, unatoka jasho, unakojoa etc, mbona hilo huuliziz?
Fafanua inamaana gani,kwanu ukisoma biology unaacha kuota?..be logical pls!
 
  • Thanks
Reactions: THT
Kuota is a biological phenomenon, as is kukojoa, kunya, kutoa jasho etc! Mbona huiti watu wakutafsirie kwa nini unakunya?
Still hujamfanya mtu akuelewe,nahc kuna kitu ubakijua lakini unashindwa kunifanya nikuelewe kama angalau unavyoelewa,hii inaweza kuwa kwa sababu unadhani kila mtu ana misingi uliyonayo ww.

Kuamin kama ndoto ni biological that is one side of the coin,but believing ni spiritual still ni upande mwingine wa shilingi.

Kukuona unabeza upande mmoja wa shilingi kwa maana ya kuwa upande mmoja wa shiligi ni mzur kuliko mwingine na inajarbu kusema hivyo without any convincing evident no one shall grasp your point.
Wanasayansi wanaishia kuvijadilo vitu vyenye proof kisayansi,when they get beyond that they get saying that is superstition,but they never say what superstition is and proof it!.this is what you are trying so to do too!...
 
Nakwambia kuota ni biological phenomenon kama kunya, kutoa jasho etc. Kuna maelezo ya kisayansi kuhusu hizo physiological activities as is to kuota, kuna maelezo ya sayansi, hakuna kutafsiriwa na mganga au mtu. Unaelezwa na mtu the science behind!
 
Mie naotaga nahesabu maelfu kumi mengi hadi nashindwa kabisa kuyamaliza..

Niliambiwa niende kwenye maombi nisijekuwa msukukule Wa hela bureeeww!!
 
nani kasema anatomy! we ni penguin acha uzombie. Bujibuji kumbe na wewe ni mburula wa science! as long as unaamini katika uchawi hatuwezi kuendana!
Kna tofaut kati y ndoto na uchawi.ndoto hata kwenye vitabu vitukufu zipo eg mtume yusuph alivyoota na ndoto take ikawa na maana.so as long n mfuas was dini inabidi uamin uwepo w ndoto LAKINI USIAMINI MTAFSIRI YEYOTE COZ NO ONE NOW AFTER MTME YUSUPH ANAYEWEZA KUTAFSIRI NDOTO correctly weng waongo.
 
Back
Top Bottom