Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Mbovu hadi unakera utadhani upo darasa la kwanzaMwandik mbov san co
Mbovu hadi unakera utadhani upo darasa la kwanzaMwandik mbov san co
....
Nilichokifany nimemwambia tumevunja uhusiano sas tang juz ananibembelez san nashindwa kumsameh kwa sabb roh inanium lakin moyon ninampenda san kias had nnashindwa kula wal kupat usingiz mbay zaid anapolia machoz ananiumiz zaid ukizingatia nina miak4 nip nae.nawaz san nakosa jibu la kufany.
Wadau naomben ushaur.
Mim ni kijan na nimekuw na binti ni mpnz wang kin mpaka wazaz wameshafaham yan kwet na kwao na nimewah at kumpelek hom ila haikiw uchumba official ni katik mbinu za kumridhisha.
Huy mpnz wang huwa anadai ananipenda san tangu nip nae nnasom amekuw na mimi akinivumilia had nimemaliz na sasa ninatafta ajira bad nilikuw nae.
Lakin tatiz la huy mpnz wang huw akiwa na shida haniambii af matokeo yak nimewah kumkuta na m2 mwingne wanamahusiano mara2 yan mara ya kwanz niliwah kumfumania na mwanaume akaniomb msamah san yan akanibembelez san zaid ya miezi miwil analia nikaw nimemsameh lakin sas nimekuta ten kweny cm yak kun mtu mwingin nae wanamawasiliano ya kimapenz na ni miez minne5 tang nimemsameh kosa la kwanz.

Acha kujiendekeza kwa kukosa usingizi kwa mambo ya kijinga, si bora ukose usingizi kwa kuwazia ajira angalau Waweza amua kua mlinzi kuliko huo upumbavu, umeshajua anakusaliti unataka nn cha zaidi? Labda kama unataka magonjwa lakini ukweli ni kwamba huyo mwanamke hawezi kukupenda sababu huna ela na hewezi kumtimizia mahitaji yake ya msingi maana huwezo huna, weka akili yako yote kwenye kutafuta kazi au shughuli yoyote ya kukuingizia kipato atakayekupenda atakuja mwenyewe automaticallyWadau naomben ushaur.
Mim ni kijan na nimekuw na binti ni mpnz wang kin mpaka wazaz wameshafaham yan kwet na kwao na nimewah at kumpelek hom ila haikiw uchumba official ni katik mbinu za kumridhisha.
Huy mpnz wang huwa anadai ananipenda san tangu nip nae nnasom amekuw na mimi akinivumilia had nimemaliz na sasa ninatafta ajira bad nilikuw nae.
Lakin tatiz la huy mpnz wang huw akiwa na shida haniambii af matokeo yak nimewah kumkuta na m2 mwingne wanamahusiano mara2 yan mara ya kwanz niliwah kumfumania na mwanaume akaniomb msamah san yan akanibembelez san zaid ya miezi miwil analia nikaw nimemsameh lakin sas nimekuta ten kweny cm yak kun mtu mwingin nae wanamawasiliano ya kimapenz na ni miez minne5 tang nimemsameh kosa la kwanz.
Nilichokifany nimemwambia tumevunja uhusiano sas tang juz ananibembelez san nashindwa kumsameh kwa sabb roh inanium lakin moyon ninampenda san kias had nnashindwa kula wal kupat usingiz mbay zaid anapolia machoz ananiumiz zaid ukizingatia nina miak4 nip nae.nawaz san nakosa jibu la kufany.
Halafu nakuota ota kila siku tufanye kweli bwana [emoji3]Usisalitiwe we ni nani?
jifunze kuandika vizuri
May your dreams come true... 😀Halafu nakuota ota kila siku tufanye kweli bwana [emoji3]
Mbon cjachanganya herufi kubwa na ndogo au ubovu wa sura mwandiko nao unakuwaga na sura flani hivii?Mbovu hadi unakera utadhani upo darasa la kwanza
Sasa anko nisikilize wanaume ni kusaidiana. Nipe namba ya huyo mdada, wewe mwambie anko nitampigia.
Mimi nitajifanya mkali na kumuuliza kwanini anakusaliti wakati wewe unampenda, nitampanga nina uhakika baada ya hapo hizo tabia atapunguza na baadaye kuacha kabisa.
Wanaume ni kusaidiana.
Apo naweza kujitahidi kufanya hivyo kilichonipa mawazo ni huruma2 make najikuta kumuonea huruma sana nnapoona analia ila tabia zake ndo zinanichosha sanAcha kujiendekeza kwa kukosa usingizi kwa mambo ya kijinga, so bora ukose usingizi kwa kuwazia ajira angalau Waweza amua kua mlinzi kuliko huo upumbavu, umeshajua anakusaliti unataka nn cha zaidi? Labda kama unataka magonjwa lakini ukweli ni kwamba huyo mwanamke hawezi kukupenda sababu huna ela na hewezi kumtimizia mahitaji yake ya msingi maana huwezo huna, weka akili yako yote kwenye kutafuta kazi au shughuli yoyote ya kukuingizia kipato atakayekupenda atakuja mwenyewe automatically
Hauandiki kwa ufasahaMbon cjachanganya herufi kubwa na ndogo au ubovu wa sura mwandiko nao unakuwaga na sura flani hivii?
Hayo mazoea sio mazuri...Ahaaa! kumbe tatizo ni hilo basi usijali nitabadilika make ni mazoea hayo co ugonjwa.
Lazima nije mwanzaMay your dreams come true... 😀
Nitajitahidi sana nibadili maana kila mmoja alikuwa akiniambia mwandiko mbovu na nikiangalia nashindwa kuona tatizo make me niliona unasomeka vizuri kumbe hauna kilakituHayo mazoea sio mazuri...
Unaweza kujikuta unaandika hivyo kwenye mambo ya maana ukajikosesha sifa