Halima Mdee kuendelea kusota Rumande Mpaka siku ya Jumatatu
Inavyosemekana Halima Mdee kuendelea kusota rumande mpaka siku ya Jumatatu.
Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam Halima Mdee alikamatwa na jeshi la polisi hivi karibuni, kwa kile kinachodaiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni...
Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli Leo amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi Watatu Wa CCM Aliowateuwa hivi karibuni
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa Wenyeviti 7 wa Bodi za Taasisi za Serikali, na pia ameteua Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Tanzania na Mjumbe mmoja wa Baraza la Taifa la Biashara.
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 19 Desemba, 2016 na Katibu Mkuu...
Ngazi zote mkuu umeshindwa kufuata mpaka unakimbilia kwa waziri hizi hospital ziko chini ya wilaya mzeee unataka waziri atembelee hospital za mitaaa. Acheni kumbebesha mizigo waziri bwana acheni apambane na madawa kwanza hili ongea na mkuu wako wa wilaya ama mtendaji wa kata yako atakusaidia
Mkuu wa wilaya ya Kinononi na Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa kiusalama wa Kinondoni Mh. Ally Hapi leo akiambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama, maafisa afya na biashara wa manispaa wameendelea na operesheni ya kusaka stoo Na magodauni bubu yasiyozingatia sheria za nchi...
M/kiti Kamati ya Ulinzi na Usalama Mh Ally Salum Hapi kupitia Mkoa wa Kiusalama wa Kinondoni Wamekamata Shehena ya Sukari Mifuko zaidi ya elfu Moja na Tisini na Tano.
Sukari hii ikiwemo sukari toka Nchini India na ile ya Ndani ya Nchi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam Mh. Ally Hapi leo amewatembelea wananchi maeneo ya Bunju na Mbweni waliokuwa na kero mbalimbali.
Katika eneo la Bunju Kilungule, baadhi ya wananchi nyumba zao zimezungukwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Mkuu wa Wilaya...
Ripoti iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad imezichanganya Hospitali ya Taifa Muhimbili na Bohari ya Dawa (MSD), huku Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akihitaji maelezo ya kina kuhusu mkanganyiko huo...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam Mh. Ally Hapi jana tarehe 26/4/2015 alifanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyoko manispaa ya Kinondoni. Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na watendaji mbalimbali wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni, Mh. Hapi alikagua na...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam Mh. Ally Hapi jana tarehe 26/4/2015 alifanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyoko manispaa ya Kinondoni. Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na watendaji mbalimbali wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni, Mh. Hapi alikagua na...
TAARIFA
Leo usiku katika kipindi cha Malumbano ya Hoja kupitia kituo cha ITV, kijana mwenzetu Mwenyekiti wa Jukwaa Huru la Wazalendo comrade Ally Salum Hapi amealikwa miongoni mwa wageni wa meza kuu katika kujadili mada isemayo
"AGIZO LA RAIS VIJANA KUACHA UZURULAJI NA KUFANYA KAZI, JE...
Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu pamoja na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammed Bakari wametembelea Hospitali ya Mji wa Masasi (Mkomaindo), Hospitali ya Rufaa Ndanda Mission na Kituo cha Afya cha Nanguruwe kilichopo Jimbo la Mtwara Vijijini.
Katika ziara hiyo ya siku 2 Mhe Ummy alipata fursa...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto mh. Ummy Mwalimu leo ameendelea na ziara yake mkoani Geita ambapo pamoja na mambo mengine ametembelea hospitali teule ya rufaa ya Mkoa wa Geita na kutazama wagonjwa pamoja na hali ya utoaji huduma katika hospitali hiyo.
Aidha Mh. Ummy...
WAZIRI UMMY MWALIMU AZURU GEITA KUKAGUA HALI YA KIPINDUPINDU
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu ametembelea kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu ya Nyankumbu, Wilayani Geita leo tar 4 Jan 2015.
Pamoja na kukagua kambi hiyo, mh Ummy Mwalimu amezitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.