Maajabu sasa haya.Aaaa ushakuwa mchezo ndo basi tena! jana wamenichanganya hadi sasa sijaelewa eti wamekamata kontena la sukari bandarini wanasema isambazwe haraka, zakaria anasema niyawateja wake toka Burundi walikuwa wanasubiri vibari TRA, na afisa wa TRA anathibitisha hilo, sasa najiuliza kwani hapo wamekamata sukari iliyofichwa kweli?
Sasa sita shangaa sukari iki kamatiwa melini (out anchor) sijui sasa wana taka iingie na nyungo?Maajabu sasa haya.
Hivi unakamata vipi sukari ikiwa bandarini afu unadai eti "sukari imefichwa", sukari inafichwa vipi bandarini?
Endeleeni na ulaghai tu. Kama mlivyoanza. (CT-SCAN, MRI)M/kiti Kamati ya Ulinzi na Usalama Mh Ally Salum Hapi kupitia Mkoa wa Kiusalama wa Kinondoni Wamekamata Shehena ya Sukari Mifuko zaidi ya elfu Moja na Tisini na Tano.
Sukari hii ikiwemo sukari tuka Nchini India na ile ya Ndani ya Nchi.
![]()
![]()
Italazimishwa sukari ya warundi iuzwe kwa nguvu hata wasipokunywa chai shauri yaoAaaa ushakuwa mchezo ndo basi tena! jana wamenichanganya hadi sasa sijaelewa eti wamekamata kontena la sukari bandarini wanasema isambazwe haraka, zakaria anasema niyawateja wake toka Burundi walikuwa wanasubiri vibari TRA, na afisa wa TRA anathibitisha hilo, sasa najiuliza kwani hapo wamekamata sukari iliyofichwa kweli?
Sijui lini hapa katinga hospitali na mavazi ya mgambo .hawajamaa full comedian yaniHuyu jamaa na Paul Makonda wanajua kucheza na tone ya Magufuli.
Yaani full usanii.
Suala si kuingia kihalali, suala inafichwa...Mwisho wa siku watasema iliingia kihalali kwanini wasiwe wanafanya uchunguzi kabla ya kusema wamekamata
Mkuu jana kuna sehemu walienda wakapewa ushahidi wote wa ukaguzi kutoka Board ya Sukari ikabidi wakae kimya tu.....ndo haya tunayozungumza wafanye uchunguzi........japo kuna wengine wanaficha kweliSuala si kuingia kihalali, suala inafichwa...
Alikuwa na kofia yake ile kama wale wapanda farasi wa Texas.Sijui lini hapa katinga hospitali na mavazi ya mgambo .hawajamaa full comedian yani