Recent content by jumaaharuna

  1. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Naweza ku-transfer pesa kwenda mitandao ya kawaida?

    Habari, naomba mnisaidie njia Bora ya kupokea pesa online nakui-transfer katika mitandao ya simu kama tigo, mpesa au Airtel...z[emoji120]
  2. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wa World Pesa wanafanya utapeli wa kitoto

    Inalipa mkuu tuma maokoto hayo nikutumie link[emoji23][emoji23][emoji23]
  3. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wa World Pesa wanafanya utapeli wa kitoto

    Inalipa aisee nitumie 13000 nikupe link uanze kupiga pesa
  4. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wa World Pesa wanafanya utapeli wa kitoto

    Kuna Hawa jamaa Wanajiita World Pesa wanachukua namba kwenye group za WhatsApp then wanahitaji ujiunge nao kwa shilingi 13,000 baada ya kujiunga nao wanakutumia Link ambayo utakuwa kazi yako ni kuview videos ili uingize fedha! Najiuliza kirahis hivi upate fedha mbona kama vile ni utapeli wa...
  5. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi

    Inawezekana
  6. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi

    Haswaaa
  7. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi

    Mi nipo Mbeya Ila kesho ngoja niyatafute
  8. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi

    Asante
  9. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi

    Sijawahi kusumbuliwa mkuu labda nikapime huenda vimenianza
  10. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kuvuruga na kujaa gesi

    Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga. Yaani ni kama nimevimbiwa, nabeuwa harufu, cha kushangaza hamu ya kula sina, ila nikitia chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda chooni naishia kuharisha.
  11. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi

    Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga yaani ni kama nimevimbewa na beuwa harufu, chakushangaza hamu ya kula Sina Ila nikitia Chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda chooni naishia kuharisha..
  12. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Unywaji wa maziwa kwa wingi hufanya mtu kuwa mrefu

    Naimani warusi ni wafugaji
  13. jumaaharuna

    JamiiForums Tanzania 𝗜𝗻𝗮𝘁𝗼𝘀𝗵𝗮!!!

    Jamaa wako mbele na muda sana
Back
Top Bottom