Recent content by Juma2002

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Ok ila kwa kufuga kiasi mana sio kuwaweka wengi. Mana wengne hatutumii nyama so ukifika wakati wa uvunaji ulaji utaongezeka
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Sawa hilohilo naweza kuweka samaki wa kuzaliana ili wawe wanaongezeka
  3. J

    JamiiForums Tanzania ⚠️Taa ya check engine inawaka na gari inakosa nguvu , msaada !

    Zima gari then Fungua waya wa Negative kwenye betri uutoe kaa dk 1 then urudishe alafu washa gari yako
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza mabwawa kwa ajili ya ufugaji wa samaki

    Mkuu mimi sitaki samaki wa biashara nataka nifuge samaki kwa ajili ya chakula changu tu mwenyewe na sina eneo kubwa mana ni kwangu eneo ambalo naweza kuweka bwawa ni 4×5 au 5×5 je linawezekana hilo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mabati ya ALAF yako overated sana

    Jaman vp kuhusu SUNSHARE nayo je yanalingana na ALAF????
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kula bata mkoa wa Tabora

    Nataka watoto wazuri jamani hapa tabora nitapata wapi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kula bata mkoa wa Tabora

    Jamani waungwana wekendi nimeingia tabora, mwenye kuijua anielekeze wapi nikale bata na nitapata viburudisho au mambo yetu yaleeee mana nasikia kuna vichotara vyakutosha..nielekezeni jamani
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

    Madee nae ni raisi wa manzese so akampe tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tunafukua makaburi:Je,mnaikumbuka kauli hii ya kujitapa ya Mkulu kuhusu makinikia??

    Jamani mi huwa naenda bandarini mara kwa mara Makinikia yapo na yanalindwa balaa askari wanapokezana zamu so tuongee mengine kwa kuwepo bandarini bado yapo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kata 4 za Mbeya Mjini wasimamizi wa uchaguzi wagoma kupokea fomu za wagombea katika kata 3

    Za ccm zimepokelewa au?? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    JamiiForums Tanzania Miliki nyumba nzuri na ya kisasa kwa gharama nafuu kabisa

    Je kama nimejenga halafu nahitaj roofing tu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Kilipotokea kumbuka sikuzaliwa nacho
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Sina maana hiyo mkuu kupunguza ni neno tu ila kukiondoa ndio dhamira kwani naweza kutumia neno kupunguza kabisaaa
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Ndugu zangu naombeni mnisaidie dawa ya kupunguza au kuondoa kitambi
Back
Top Bottom