Recent content by Juma. W

  1. J

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Huyuu bwana ni katibu mwenezi wa chama, kila afanyacho anafikiria zaidi kipi kitakipa chama chake credit na anasahau kabisa kuwa hata katiba ya nchi inasema kila mtanzania ana haki ya kupata habari. Karne ya leo kuleta hoja kama hii bingeni ni aibu kwa nchi
  2. J

    Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Yesu Kristo hawezi linganishwa na wachungaji wetu wa leo
  3. J

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    Kuna kipindi lazima tuongee ukweli, kila ajali tumewalaumu madereva na tumeacha hata kuwataka wale waliopewa wajibu wa kutumia kodi zetu kutunza barabara watueleze kwanini shimo kama lile linaachwa kwa miaka miwili bila kufanyiwa kazi. Nalikumbuka sana lile eneo nikiwa nimepita kama mwaka na...
  4. J

    Faraja Kotta: Mume Wangu Anafaa Kabisa Tena Kwa...

    Duuuu!!!! basi kila mtu anaweza kuwa rais
  5. J

    Rukwa: Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) akatwa mkono

    Taifa hili lina laana kabisa, damu ya albino hawa inalia kila siku. Mungu atusamehe kwa kweli
  6. J

    Katiba mpya sawa, lakini hii ya USA Hapana

    Ya kwao hayo, tunayo yetu mengi sana tena ya level ya kawaida yametushinda. Tusipotezee muda huko
  7. J

    Majengo ya Morogoro, Nani mjenzi?

    wewe unatoka mji gani wa Tanzania ambao utofauti wake na morogoro ni mkubwa kisai cha kukufanya uwe na nguvu ya kuiona morogoro ni ya ajabu? Nadhani ulilinganisha moro na Jo'berg then ukaandika meseji yako.
  8. J

    "Wa Mikoani", Ni Kasumba ama ina maana gani?

    Huu kweli ni ulimbukeni na ubaguzi tena unaoendekezwa hata na baadhi ya viongozi wetu.
  9. J

    Kenyatta, Kagame call EAC member state to open up borders

    Kama Kenya na Rwanda wakiwa na sera nzuri za kutengeneza kazi kwaajili ya wananchi wao wasingepoteza muda mwingi kufikiria nchi gani itatoa ajira za wananchi wao. Ni muda muafaka kwa nchi zetu kufikiri zaidi jinsi gani tunaweza badili mfumo wetu wa elimu na kuzalisha vijana wasiosubiri...
  10. J

    Mheshimiwa Abood: Msaada wa kuzika umejitahidi sasa toa msaada wa tiba

    Morogoro panabadilika kwa kasi sasa. Barabara za lami mitaani zinaongezeka. Najua baada ya miaka mitano ijayo mji mzima utakuwa na network nzuri ya barabara. Kinachotakiwa sasa ni kuboresha na kupanua mfumo wa maji ili watu wa Kihonda kwa Chambo, Kilimanjaro, Mazimbu road nao wapate maji. Najua...
  11. J

    Hadithi mpya ya kusisimuwa uchawi wa mama mkwe

    Imeisha? Mbona kama bado?
  12. J

    Mnaoitaka Tanganyika jibu swali hili

    Hata kama kila mtu yupo huru kuwaza ni lazima kuangalia wazo gani ulitoe mbele ya watu na lipi liishie kichwani mwako tu. Unapoamua kulitoa wazo lolote kwa watu lazima pia kujua ni lugha ipi uitumie ili kulieleza wazo lako. Sasa usichokielewa kuhusu Tanganyika ni nini, yaani tu mikoa mingapi...
  13. J

    Ushoga na Udini: Mwigulu achafua upepo Bungeni!

    Hii ni hatari. Hivi naibu waziri hajui kuwa tunajadili rasimu? Katika hii rasimu iliyoandaliwa na tume ya Mh. Warioba kuna sehemu au hata msitari mmoja unaongelea ushoga? Hilo kalitoa wapi? Nadhani hapa Mwigulu anatupotezea muda na kutuhamisha kwenye mada. Huyu anakosa uzalendo na kulifanya...
  14. J

    Pres. Mugabe: It is time Africa be grateful to Julius Nyerere

    Mwalimu Nyerere hajapewa hadhi anayostahidi hata hapa kwetu Tanzania
Back
Top Bottom