Mnaoitaka Tanganyika jibu swali hili

Mnaoitaka Tanganyika jibu swali hili

Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?
Baadaye utasema na sisi wasukuma tujiulize lini tulikaa na kukubaliana tuitwe tu Wasukuma? Ni sawa na kukaa na kujadili lini watu walikaa kukubaliana jua waliite jua na si mwezi.
 
Driving Licence.jpg Driving Licence.jpg
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

Haijalishi ni nani kakaa, whether namjua au simjui....UONGO tuuite UONGO, na UKWELI tuuite UKWELI. I hate kusikia hii si suala la Muungano wakati ki unafiki tunasema we are the same Country.....Why unipe Foreign Driving Licence in the same country.... Mtanilazimisha kuendelea kukubali kuwa Mdanganyika na nitaendelea kukubali kuwa Mtanzania kwa sababu ya urafi na usalit wa hao walio wachache, Otherwise Mtanganyika si Mtanzania, Wala Mzanzibar si Mtanzania. Proof acha propaganda rejea my Foreign Driving License in this Island. Basi.
 
natumaini upo form three D. Mtu mzima na msomi hawezi andika hivi. Na kwa mwendo huu form four haufaulu.

Hii ni Idea ya Prof Anna Tibaijuka, nimemsaidia kuipost
 
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"

Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila mbalimbali, sasa nataka mniambie, nani alikaa akasema mikoa 25 tuiite Tanganyika, ni kweli Mgogo na Mkurya walikubaliana, au Msukuma na mmasai walikubaliana?, mnaoitaka Tanganyika tuambieni jina Tanganyika lipo kwa idhini ya nani?

SHORT HISTORY

Tanganyika Territory was a British League of Nations mandate between 1922 and 1946 and a British United Nations trust territory between 1946 and 1961.

Prior to the end of the First World War the territory was part of the German colony of German East Africa. After the war had broken out, the British invaded German East Africa, but were unable to defeat the German Army. The German leader in East Africa, Paul Emil von Lettow-Vorbeck did not surrender until the German Empire had collapsed. After this the League of Nations gave control of the area to the United Kingdom who named their part of the earlier German area Tanganyika. The United Kingdom held Tanganyika as a League of Nations mandate until the end of the Second World War after which it was held as a United Nations trust territory. In 1961, Tanganyika Territory gained its independence from the United Kingdom as Tanganyika, a Commonwealth realm

Ungekuwa mwalimu wanafunzi wako wangekuwa wanapata 100%. Yaani unawapa notes, unahighlight maeneo nyeti ya notes halafu unawauliza wanafunzi swali kutoka kwenye highlighted notes. Tunaitaka Tanganyika hiyo uliyoielezea hapo juu.
 
Eti ameikana post yake anasema anamsaidia kupost, sasa kama unamsaidia kupost basi nawe unakubaliana na hyo hoja ya kipuuzi.
 
Ungekuwa mwalimu wanafunzi wako wangekuwa wanapata 100%. Yaani unawapa notes, unahighlight maeneo nyeti ya notes halafu unawauliza wanafunzi swali kutoka kwenye highlighted notes. Tunaitaka Tanganyika hiyo uliyoielezea hapo juu.

anajikanganya mwenyewe mpuuzi huyo hata hajielewi, anauliza tanganyika imetokea wapi then anatupa maelezo ya kuelezea historia ya tanganynka.
 
Basi nilipoona subject nikaja nimejiandaa na nondo sawa sawa za kipinga hoja kumbe ni huu u.puu.zi ..napu.uuza hoja kama navyom.puuza mtoa hoja
 
Hata kama kila mtu yupo huru kuwaza ni lazima kuangalia wazo gani ulitoe mbele ya watu na lipi liishie kichwani mwako tu. Unapoamua kulitoa wazo lolote kwa watu lazima pia kujua ni lugha ipi uitumie ili kulieleza wazo lako. Sasa usichokielewa kuhusu Tanganyika ni nini, yaani tu mikoa mingapi iliamua iwe Tanganyika?, nadhani jaribu kuwa makini na mfikirivu kabla ya kuwasilisha hoja.
 
Viongozi wa CCM wamekuwa wapiga RAMLI sasa badala ya kuwatumikia wananchi.
 
Back
Top Bottom