Jamani naomba kuuliza,kuna uwezekano ukafanya usaili katika vyuo vikuu kwa kada za technician,baada ya matokeo ya waliokua kwenye database ukapangiwa taasisi nyingine kama halmashauri?.
Wadau nisaidieni,hivi uaweza kuchaguliwa kufanya usaili wa kuandika pamoja na mahojiano,na status ikaendelea kusoma not selected?,na kama inawezekana nini kinasababisha?.
wadau naomba mnieleweshe, kama umefanya interview kwenye taasisi za vyuo vikuu kama udom,udsm nk nakufaulu ila ukakosa nafasi.je kuna uwezekano wa kuwekwa kwenye database ya utumishi?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.