Recent content by july7

  1. J

    Kwa porojo hizi za TRA ndiyo maana hata mapato ya kila mwezi yamebaki "midomoni" mwao

    Mimi Nadhani TRA wapo sahihi kusema Kuwa benki ndio wanaotakiwa kulipa kiasi hicho cha kodi ya ongezeko la thamani. Ikumbukwe kwamba pesa iliyopo benki ni tofauti Kabisa na bidhaa iliyopo dukani, nasema hivyo kwa sababu bidhaa iliyopo dukani ni Mali ya mwenye duka hadi pale ajapo mnunuzi wa...
  2. J

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Liwale nataka kwenda Singida idara ya Secondary, kama kuna yeyote karibu
  3. J

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Liwale nataka kwenda Singida au jirani na Singida, kama kuna yeyote karibu
  4. J

    Na unlock moderm aina zote kwa 4000

    Mimi nina Airtel Home WIFI Router, hii ni router inayotumia line ya Airtel pekee. Mahali ninapoishi hivi sasa hakuna mtandao wa 3G kwa Airtel na hivyo kufanya Router yangu kukosa msaada niliokuwa nauhitaji. Je naweza nikaibadili ili niweze kutumia line yoyote!?
  5. J

    Mtaalamu wa kutengeneza website

    Kwa ufanisi wa kazi yako na kwa gharama nafuu kabisa nakushauri uwaone hawa jamaa, kwa hakika wako vizuri!
  6. J

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Liwale nataka kwenda Singida au jirani na Singida, kama kuna yeyote karibu
  7. J

    Kima cha chini cha Mshahara kupanda hadi kufikia zaidi ya shilingi 300,000

    Hivi ni vitu viwili visivyoshahabiana kabisa, VAT ni tozo/kodi ya ya ongezeko la thamani ambayo hulipwa na kila mwananchi anunuaye bidhaa. Lakini PAYE ni tozo la mapato ambayo hulipwa tu na mtu mwenye kipato. Kwa hiyo sijachanganya hivi vitu, nakualika hata utembelee tovuti ya tra...
  8. J

    Kima cha chini cha Mshahara kupanda hadi kufikia zaidi ya shilingi 300,000

    Nadhani hujaamka! Nenda kwenye tovuti ya tra utaona pia naithibitisha kutoka katika kodi ninayokatwa mimi mwenyewe
  9. J

    Kima cha chini cha Mshahara kupanda hadi kufikia zaidi ya shilingi 300,000

    PAYE ya (13/12)% ni uongo mtupu. Kombani kasema kuwaserikali hukata kodi (PAYE) ya 13% ambayo kwa bajeti hii itashushwa kwa 1% na kuwa 12%. Taarifa hizi sio sahihi kwani serikali hukata kodi (paye) ya 18.97% kwa tz bara na 20.025% kwa Zanzibar. Fanya ukokotozi na utaona usahihi wa maneno yangu...
  10. J

    P.A.Y.E (katika hili Kombani kaudanganya umma)

    Nianze kwa kuwauliza wanajanvi, ni asilimia ngapi ya pato lako halisi hukatwa kama kodi kupitia mfumo wa lipa kwa kadri ya upokeavyo (PAYE)? Waziri Kombani kaueleza umma bungeni hivi punde kuwa Serikali ilisikiliza maombi ya vyama vya wafanyakazi vya kupunguza tozo la kodi ya mapato ambalo...
  11. J

    Hii mahari ni noma!!, Wazazi wafikirieni wanenu kuwa wanaanza maisha!

    Napata mashaka kama kuna ukweli wowote katika post hii!
  12. J

    Kiwanja Kinauzwa Madale kwa Kawawa Bei chee Mil 2.8

    Naomba kufahamu kama kimepimwa na kama una hati miliki ya hicho kiwanja.
  13. J

    21% ya Ajira za serikali ya muungano kupewa wa-Znz. Je, haki imetendeka??

    Muungano kwa maana ya Muungano si mzigo. Ukiutazama kwa mapana yake utagundua kuwa viongozi katika huu muungano ndio mizigo, ubinafsi wa viongozi ndio uliosababisha huu muungano ufike hapa.
  14. J

    Natafuta rafiki wa kike aliye tayari kuwa mke

    Removed
Back
Top Bottom