Na unlock moderm aina zote kwa 4000

Na unlock moderm aina zote kwa 4000

Nashukuru sana kiongozi Njunwa binafsi nilikuwa najua kuunlock ni kuweka custom rom nikama kuroot moderm kumbe sikuwa mbali sana. Kwahiyo nilijua niki unlock ndo nakuwa na uwezo wa ku upgrade firmware ambapo nilijua moderm kama nime upgrade firmware inaongeza uwezo kama ilikuwa inasoma 2g itakuwa inasoma 3g 4g nk. Nashukuru sana kaka kwa elimu hasa hapo kwenye kubadili network hapo.
Moderm yangu ni Huawei E173s-2 ya Vodacom kuna mtu alinipa
Hiyo modem inaanza na IMEI # 35?
Je ukiweka Line nyingine unaombwa Code za kutoa lock au inakwambia Insert Specified Sim Card?
 
Mada nzuri wadau! Nina Moderm pia ya vodafone, imekuwa unlocked, ajabu nikiweka laini nyingine naambiwa ni lazima niwe kwenye vodafone network! Naomba msaada juu ya hili wakuu
 
Mada nzuri wadau! Nina Moderm pia ya vodafone, imekuwa unlocked, ajabu nikiweka laini nyingine naambiwa ni lazima niwe kwenye vodafone network! Naomba msaada juu ya hili wakuu

Ukisema tu Vodafone haitoshi kuna infomation nyingi za ku exhaust.
e,g Vodafone R207z etc
Nacho jaribu kukwambia ungetuma full model
 
Shukrani mkuu. Je aina hiyo ya moderm naweza upgrade firmware?

Its Unlikely ukai Upgrade bali utai downgrade

Kati ya vitu vinavyoua modem ni ku badilisha firmware for Unexperienced users na kui Resurect ni ndoto

Haupaswi kubadilisha firmware kama modem haina Lock na kwa modem yako lock inatoka kwa hizo code
 
Sawa Mkuu Moderm yangu ni E272 IMEI ni 357865014052570 msaada

Umesema imetolewa Lock afu ukiweka line nyingine inakwambia uwe kwenye vodafone network?

Unaweza kuonesha Huo ujumbe kwa picha

Je,Umejua je imetoka Lock?
 
1460061733626.jpg
 
Hapo nimeweka laini ya tigo, though kuhusu kufahamu kama iko unlocked kuna app nilitimia inaitwa modem unlocker v.5.8.1 (Intelli-Sense) by bojs
 
Hapo nimeweka laini ya tigo, though kuhusu kufahamu kama iko unlocked kuna app nilitimia inaitwa modem unlocker v.5.8.1 (Intelli-Sense) by bojs

Ni kweli ipo Unlocked ila inaonesha hiyo dashboard ndo shida

Jaribu kutengeneza profile na APN uone

Iwapo itagoma bado waweza jaribu Dashboard nyingine au Uka Connect Network kwa njia ya Broadband connection
tazama picha chini

zArcadyan_105.gif
 
mimi nina modem ya vodafone: Model: K3772-Z. msaada hapo nataka ku unlock au dashbord ipi nitumie kwani Join Air imekataa
 
Mimi nina Airtel Home WIFI Router, hii ni router inayotumia line ya Airtel pekee. Mahali ninapoishi hivi sasa hakuna mtandao wa 3G kwa Airtel na hivyo kufanya Router yangu kukosa msaada niliokuwa nauhitaji.
Je naweza nikaibadili ili niweze kutumia line yoyote!?
 
Mimi nina Airtel Home WIFI Router, hii ni router inayotumia line ya Airtel pekee. Mahali ninapoishi hivi sasa hakuna mtandao wa 3G kwa Airtel na hivyo kufanya Router yangu kukosa msaada niliokuwa nauhitaji.
Je naweza nikaibadili ili niweze kutumia line yoyote!?
Airtel home wifi ndo kitu gani?

Sema Manufacturer na Model na sema ukiweka line nyingine inakwambia nini?

Its worthy noting kwamba hapa Modem/router zinatambulika kwa vitu viwili vya maingi nilivovitaja hapo juu.

Na ili ujue inatoka vipi Lock lazima useme ujumbe unaopewa ukiweka line ya kigeni.

Njia Pekee zilizopo za Ku Unlock modem/Router za Bure zinazojulikana nazo ni

1) Iwapo modem/Router IMEI inaanza na 35 na inaomba NCK codes basi utaenda a-zgsm.com utatia IMEI na utapewa hizo codes

2)Iwapo Modem ina Customized Firmware.
Basi hapa lazima na wewe uchangamshe akili kutafuta Firmware iwapo firmware yake haijawai kuwa verified na users wa hapa kwetu,Modem zenye Firmware zinazojulikana ni E173,E153,E303,E3131 na modem mpya za Tigo 3G za 42Mbps if not mistaken ni E3531.
Kama Firmware ya Modem yako haijulikana hapa napo utaongia Cost ya kulipia Hi-Silicon Firmware writer inamilikiwa na DC-Unlocker na watakupa Firmware ambayo ina format ya .dgtk ambayo hauwezi itumia bila kulipia hiyo Tool yao.

3)Modem/router zenye IMEI inayoanza na 86 na zinaomba NCK codes pia lazima ujipange.

4)Modem/Router mpya za ZTE hizo ujanja wake haupati kwingine bila kulipa DC-Unlocker na bei yake sio chini ya 7£
Hivo watu inabidi wawe makini unapoenda kukimbilia kununua Modem/Router Jua kwanza kama inatoka Lock au utakua Umechagua kufunga Ndoa ya kikristo na hicho kifaa cha mtandao wako maana modem nyingine hazina hata walau solution ya kulipia e.g ZTE 6601 ya Halotel
 
mimi nina modem ya vodafone: Model: K3772-Z. msaada hapo nataka ku unlock au dashbord ipi nitumie kwani Join Air imekataa
Unfortunately hiyo modem mimi naitaga hasara.
Njia Pekee nayoijua mimi ku Unlock ni kwa kutumia DC-Unlocker na bei yake(7£) naonaga ni bora kununua Modem nyingine yenye uwezo zaidi(21Mbps-42Mbps speed) inayotoka Lock bila kulipia.

Ila bado una nafasi ya ku Unlock iwapo utaona kulipia ~18,000/= sio issue kwako

Ila pia watu wajifunze,wamebahatika kuwa na Forum nzuri kama hii kwa nini watu wanakimbilia Kununua Modem bila hata kupata Ushauri wa kitaalamu?

Sometimes back watu walikua wanauliza na mimi nikiwemo ili tusije ingia Mkenge maana Soko la mitandao ya Simu ni Competitive hauwezi sema utanunua Modem ya Kila mtandao na hauwezi sema utafunga ndoa na mtao mmoja.

Technolojia inakua na kuna Modem zinaanza kupoteza maana labda kama haujali kupati speed kubwa.
 
Back
Top Bottom