Watekaji vilaza kweli hivi waliendeleaje kutumia gari ambalo tayari picha zake zishasambazwa alafu wao wakabadilisha namba tu wakatembea nalo kwa kujiamini tena mpaka maeneo ya karibu na ikulu..hawa watekaj wanajiamini jamani.
Mo baad ya kuachiwa alipata wapi simu ya kupiga kwao muda ule...
Alafu hao halotel ukienda miji mikubwa zero kabisa yani ukiwa mwanza ata picha hupost sijui wamekuaje nikiwa Mwanza,Arusha au Dar lazima nihamie airtel halotel acheni hizo
Binadamu tumekua wepesi wa kuhukumu na kuongea lakini kwa mawazo yangu ya kawaida kabisa siamini serikali inaweza fanya tukio kama hili hasa kipindi hiki ambacho lisu ameoneakana ni vugi vugu,inawezekana ni kakundi tu ka watu kameona kakifanya haya basi lawama zitaiangukia serikali na kweli kwa...
Hawa wataalamu wa afya kwel sijui wapoje mwenyewe nilienda clinic kufika yule mama jaman katoa kipimo anapima utasena malaria af anaweka mbele yangu nione kinavyoenda ye anaendelea na story niliwaza apa hivi presha ikipanda si ninazikwa kabisa aliniboa sana yule mama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.