Recent content by julmba

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nina watoto, sina nyumba na sina mke

    Paukwa, pakawa! Hadithi njoo.....
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    Siyo wanawake wote wanaotukana, hata wanaume. Mimi nilitukanwa sana baada ya kutofautiana ktk tabia ambayo ilikuwa sugu. Mwenzangu alishidwa kuiacha na alipopata ultimatum. Nilitukanwa mpaka na sura yangu, rangi yangu na elimu yangu, ndugu zangu na tabia yangu vyote vilitukanwa. Ni juu yako...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awashangaa Kagera: UKIMWI nyie, tetemeko nyie, mna mto unaitwa Ngono na Kijiji cha Katerero

    Jamani, akutukanaye, hakuchagulii tusi, Magu katutukana[emoji1540]
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mke niliyempa ujauzito ananitafuta anipongeze

    Kuishi kwingi, kusikia mengi. Mimi na umri wangu wa miaka 55 sijapata kusikia. Sina ushauri ila inatisha[emoji33][emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutua Bukoba kesho Jumapili, kuhutubia wananchi Jumatatu

    Sorry, kumbe ni Mhangaza, ndiyo sababu, take it as complement[emoji106]
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutua Bukoba kesho Jumapili, kuhutubia wananchi Jumatatu

    Huyu ni Mhaya hasa na Kiswahili Haya: Kalibu=Karibu. Mnasikitisha sana, hata ndugu zangu wameenda shule ila wanaandika kama huyu hapa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Taja mtu mmoja tu...

    My daughter[emoji173]️[emoji173]️
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tunampenda kama Mama wa Taifa ila anahitaji public speaking training haraka sana!

    Asante sana. You have made my Boxing day evening[emoji1545]
  9. J

    JamiiForums Tanzania Najiuliza tu kuhusu familia ya Lema kubeba chakula cha sikukuu kwenda gerezani

    You are not serious. Unamlinganisha huyo mtu na Nelson Mandela? Sina uhakika kwanini yuko ndani, ila kumlinganisha na Mandela, hapana!
  10. J

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Hata wewe unayekunywa pombe ni mjinga!
  11. J

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Pombe inawaumiza kichwa
  12. J

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    ASANTE SANA[emoji1545][emoji173]️
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kingunge, kweli ubaya hauna kwao...

    Amesema nini huyo mzee? Au ni kuzeeka vibaya,
  14. J

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Hata wanywaji wakati mwingine wanaharibu/wanaharibikiwa kwasababu ya pombe!
  15. J

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Huyo Malasusa anasema nini kuhusu Wamisionari na pombe? Angejua jinsi pombe inavyowapa wazungu kuumwa kichwa angekuja na kauli nyingine. Na huyo Mshaharakesho anasifiwa huko BKB kumbe in hambazo. Pombe uteketeza familia za watu halafu anaongea kama vile anaongelea togwa la ndizi (Olamba)? Shame...
Back
Top Bottom