Recent content by juliuskwanga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Msaada ndugu zangu. Mim ni mfugaji mdogo wa samaki aina ya tilapia (sato) sema kwa mwezi mmoja sasa samaki hawana response nikiwapa chakula. Je, hili ni suala la kawaida? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kwa mwenye elimu ya jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku zaidi upatikanaji protin mfano funza, minyoo, mende msaada jamani aana dagaa na soya ni gharama mno
  3. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Sawa okonkwo jr nipo willing kwenye ilo tunaweza fanya mipango
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa matumizi ya "shikamoo" wenye heshima ile ile

    Kwa iyo, mr lengo ni kutoa salam itakayomridhisha mtu na salam atakayoikubali msalimiwa.? Kama lengo ni mbadala wa shikamoo naamin mibadala ipo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa matumizi ya "shikamoo" wenye heshima ile ile

    Kipi bora utoe salamu ya kitumwa shikamoo au utoe salama ya kawaida ambayo itamjulia hali mtu wa rika lolote lile Mim sion utafauti kimantiki kati ya asalam aleykum na habari yako... mtamo tu ndugu
  6. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo itilima simiyu nije mkoa wowote isipokua mikoa ya kanda ya ziwa secondary 0716096669
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

    Vigezo vingi kuliko qualifications za kuomba umeneja sbs
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa matumizi ya "shikamoo" wenye heshima ile ile

    Habari yako...... kwangu mim ni salam sahihi kwa mtu wa rika lolote
  9. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Itilima simiyu nije popote ulipo isipokua mkoa wowote wa kanda ya ziwa secondary 0716096669
  10. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Secondary njoo simiyu itilima nije popote ulipo isipokua kagera, kigoma, mara, mwanza, 0716096669
Back
Top Bottom