Recent content by JULIUS MBIAJI

  1. J

    JamiiForums Tanzania Siasa za CCM, kufeli kwa Sendeka kidato cha 6, na kufeli kwa Muhongo darasa la 7

    Mara 6 unataka uende sekondari tu si bora ungefanya kilimo?Mm simkubali Muhongo kabisa hawez tukana Sendeka hv hv.Walai naye ni kiaz mviringo tu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kenya locks out Tanzania tour operators, cars...

    Good move.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mfanyakazi wa Umma Chini CCM wanavyomaliza siku na week yao

    Safi.Gombea urais kama unaweza utatukomboa.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    You people!Where are you getting us?Resolve your differences before sunset!Knowledge is power so do not waste it like this!PEOPLE'S POWER.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Funny Interview questions about IQ.

    Very good!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu posho ya kusimamia mtihani kidato cha nne 2012 wapendwa,wilaya kilombero kuna ufisadi!!!!!!!!

    Sasa mwaka huu wamenipunguza mimi na isitoshe mwaka jana waliniteua kusimamia na baada ya kuripoti kituon nikakutana na barua ya kusimamishwa kusimamia mtihani.Hawa hawatutakii mema zaidi wanajinufaisha wenyewe kupitia migongo ya watu.It is high time to nock down these irresponsible leaders and...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu posho ya kusimamia mtihani kidato cha nne 2012 wapendwa,wilaya kilombero kuna ufisadi!!!!!!!!

    Wala siyo laki 3.Wengi wetu jana tumelipwa sh 195000.Inafaa kuchukua hatua kumaliza hili tatizo.Hawako makini na maisha ya Walimu na hapa ndiyo mahali pekee pa kutupozea machungu wanatuchezea!!!!!!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu posho ya kusimamia mtihani kidato cha nne 2012 wapendwa,wilaya kilombero kuna ufisadi!!!!!!!!

    Nimesikitishwa sana na tabia ya viongozi wa Idara ya elimu idara ya sekondari ya kupunguza baadhi ya wasimamizi wa mitihani kwa kisingizio cha mitihani kupungua.Halmashauri nyingine hakuna mambo kama haya na once mtu ameteuliwa kusimamia mtihani basi ni hadi mitihani yote ikamilike sasa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Chadema ni chama dhaifu

    Baba dhaifu ukimwambia matatizo yako hatekelez unamfanyaje?Unaacha upate nguvu ujitegemee na uchukue majukumu ya kulea familia.Ndivyo ilivyo kwa nchi yetu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Ikirudi Tutarudisha Mipaka ya 1886 kati ya Zanzibar and Tanganyika

    Kuvunja huu Muungano ni sawa na wajukuu kuvunja ndoa ya babu na bibi yao.Kuuchokonoa ni sawa na watoto kuwaambia wazaz wao mkafunge ndoa vizuri achen kuishi kihorera.Kama tuna serikal imalize tatizo hili sisi raia halituhusu ingawa linatuumiza.
  11. J

    JamiiForums Tanzania MWENGE wawafanyia 'mbaya' WALIMU...

    Hivi ni kweli usemayo?Jaman jamani kama ni kweli!Nchi hii mwenyewe ni nani?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Josephine ndani ya Geita

    Wamama wapendao nchi zao ni jeshi kubwa.Vizuri kuelimishana.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    Pole kwa usumbufu uliokupata Mzee Mohamed.Katika Dini Njia bora ni kusamehe ila ktk siasa ni kusema ukwel.Usichanganye Dini na Siasa na muhimu zaidi tambueni adui yenu hasa ni nani na ni vema sana uache kuchochea chuki miongon mwa jamii ya Wanadamu maana hakika hukumu iko mbele yako.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Biashara Yazua Balaa....!

    Umeniogopesha mwanzon lkn baadaye nimechekaaa
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe huendi kariakoo

    Axante zaidi.
Back
Top Bottom