Recent content by julius mahinya

  1. julius mahinya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu ya kumnasa demu ambaye ni rafiki yako..

    Kamuulize yeye?
  2. julius mahinya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani mazuri ya kuchukua ukimjua mtu anayetembea na mkeo?

    Yakikukuta utajua cha kufanya.....!
  3. julius mahinya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Babu yangu hanithamini.

    Sidhani kama una haki kwa babu yako, wanasheria watatujibu hill, lakini kama ulishagundua babu yako anapenda sifa c utumikie kafiri upate kuendesha mradi wako? namaanisha msaidie kazi na msifie!
  4. julius mahinya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa na iheshimiwe na watu wote

    Ni vema na haki!
  5. julius mahinya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Too good Looking to get a boyfriend

    mbona mdada mwenyewe ni wa kawaida uzuri wake upo wapi hadi tuujadili? huyu sisemi ni mbaya ila ni wa kawaida na kama ana tabia ya kuorodhesha shida kwa wanaume pengine ndio maana wanamkacha!
  6. julius mahinya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Too good Looking to get a boyfriend

    Hakuna mkate mgumu kwenye chai!
  7. julius mahinya

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    team lowassa kazini, mtaumia sana mwaka huu.
  8. julius mahinya

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani hafai kabisa kuwa mgombea urais wa CCM

    hii ni team ya LOWASSA kazini!!!!!!
  9. julius mahinya

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    akili ndogo haiwezi kufanya kazi palipo na akili kubwa!
  10. julius mahinya

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    Una kumbukumbu kweli wewe? unajua kisa cha SHIBUDA kuhama ccm 2010 kweli? au akili yako imepatwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu!?
  11. julius mahinya

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    Unamchukulia kirahisi sana Makongoro but Lowassa anamuogopa sana kuliko watia nia wote! kuhama chama si sababu ya msingi. Taifa hili ili liwe salama usalama wa taifa ni mhimu sana, ukitazama kwa makini baadhi ya watia nia walikuwa usalama wa taifa mfano Pinda, Membe, Makongoro n.k unapofanya...
  12. julius mahinya

    JamiiForums Tanzania Lowassa kioo tuelekeacho

    unapewa hela kuleta uzi kumtaja mwizi mkubwa huyo, shame on you!
  13. julius mahinya

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa uso kwa uso na Zitto kwenye Mdahalo tarehe 18 June!

    mleta mada huna akili! Zitto naye mtaalam?
  14. julius mahinya

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

    Ukifikiria kwa kina kati ya watia nia waliotangulia, Mako, hana harufu ya ufisadi kabisa wala hajatumia jina la baba yake kujinufaisha yeye na familia yake! ameahidi kwenda kupambana na rushwa, hana mtandao atakaoulinda baadae akiwa madarakani. Atarejesha heshima ya nchi (nadhani hapa...
  15. julius mahinya

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: Lowassa nisamehe sana, ila ni Lazima tukuvue gamba haraka!

    tamaa ipi aliyonayo Makongoro? unajua tamaa za Lowassa?
Back
Top Bottom