Sio mimi mkuu.Ukisoma kwa makini uzi unaweza kujua sababu.
Limeniuma sana swala la watu kushabikia "Mama mdogo wa taifa" na bahati mbaya hakuna mwenye uhakika wa taarifa hizi.Mnafikiri mama wa watu mwenye ndoa anajisikiaje?Yule ni kama mama yetu na tunamkosea sana heshima kwa kushabikia uvumi.
Na kama nikivyosema katika uzi, hata kama hizo taarifa ni za kweli, sio sahihi kukaa kuzizungumzia hadharani.
sasa ninekuelewa mkuu dah! ...labda watu wamechukizwa na maamuzi ya ghafla kiasi kileUbarikiwe kwa uzi boraKweli mkuu.
Na ndio maana nikaanza na wanandoa wenyewe kabla ya wanaowazunguka.