Recent content by julitah

  1. J

    Mara ya kwanza kununua kondom ilikuwaje?

    HcH hhhv. Mzczh. B. z
  2. J

    NATAFUTA TOYOTA ist

    Njoo nikuuZie ya dark blue nimenunua december km 56000, ina comprehensive insurance haijaguswa ingine wala kukwaruzw body namba ni csn
  3. J

    Camera na laptop vinauzwa kwa pamoja

    Vp kama sihitaji camera, nahitaji laptop peke ake
  4. J

    Kondo kutangulia mbele

    Ngoja nijaribu kukuelezea hilo zoez,ni rahisi,piga magot sakafuni afu inama kama style ya mbuzi kagoma then kifuani weka mto au mito miwili ili kifua kisiwe chini sana then fanya kama unajinyonga nyonga kiuno pande zote,niliambiwa zoezi hili linaweza kuiposition placenta taratibu,unatakiwa...
  5. J

    Mke wangu anatokwa damu ukeni - naombeni ushauri

    Kutoka damu kipindi cha ujauzito si kawaida ni DALILI ZA HATARI,amuone Dr haraka
  6. J

    Kondo kutangulia mbele

    Pole dada mi nina mimba miez 6 nina tatizo hilo pia,kondo kutangulia kunasababishwa na vitu vingi baadhi ni kama uliwahi kuzaa kwa operation,na pia abortion,nilishauriwa kutokufanya kazi ngumu,kutosafiri umbali mrefu,kutofanya mapenz,kutoingiza kitu chochote kile ukeni.madhara yake ni kwenye...
  7. J

    TRA waanza kuita: Ass/Accountant post

    PTA hall sabasaba ground
  8. J

    Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

    we boya kweli hata taarifa ya habri huangalii???
Back
Top Bottom