Recent content by Juliethe

  1. Juliethe

    JamiiForums Tanzania CCM italimaliza taifa hili kwa AJALI za Barabarani kuelekea Uchaguzi Mkuu 25/10/2015

    Aah aah. Mie nacheka kwa kweli.
  2. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    Mungu tuhurumie jamani. Mbona Taifa lako linaangamia kiasi hiki? Mungu wetu tunaomba huruma yako. R.I.P
  3. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Ki ukweli ukiwa kwenye uchumba inabidi ujipendekeze kwa mama mkwe na upendo unakuwepo haswa. Nadhani huyo hajawa tayari kuolewa. Yupo kimaslahi zaidi. Muoe aliyekusaidia.
  4. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Aliesoma Certificate ya Insurance

    Mi sijaisomea ila ni mzoefu maana nimefanya uwakala NIC
  5. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Wanaume hawaoi mahips bandia, mwanamke heshima na lugha nzuri

    Eh! Makubwa madogo yana nafuu ah ah ah kwa kweli yanipasa nicheke. Lakini itakuwa umetoswa siyo bure.
  6. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    Bwana Hoza sasa tumchague nani anayefaa mkuu?
  7. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wanawake kujiona wako sahihi kwenye mahusiano

    Pole kaka. Ila samaki mmoja akioza wote wameoza. Ila mi nadhani kwamba ni baadhi tu wala siyo wote.
  8. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Uchawi: Dawa za kujiepusha na ajali

    Kinga ni Yesu tu. We ukiamka asubuhi jitakase kwa damu ya Yesu then takasa siku hiyo na jiwekee ulinzi wa damu ys Yesu ukikabidhi chombo unachosafiria na waendeshaji wa chombo hicho mikononi mwa Mungu maana yeye ndiye muweza wa yote.
  9. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Radi yauwa wanafunzi na walimu mkoani Kigoma

    Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
  10. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu kama 50 tu, tufanye maandamano kupinga MAUAJI kupitia AJALI

    Ni kweli kila kukicha ni ajali tu.
  11. Juliethe

    JamiiForums Tanzania Kanitumia picha zake, nitafungwa na sheria mpya?

    Mm! makubwa. Kwa hiyo una wasiwasi anaweza kuwa anamtumia na mwngine au?
Back
Top Bottom