Radi yauwa wanafunzi na walimu mkoani Kigoma

Radi yauwa wanafunzi na walimu mkoani Kigoma

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
241
Kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kuanzia muda wa saa nne asubuhi, katika manispaa ya Kigoma/Ujiji, jumla ya wanafunzi wanane na walimu wawili wa shule ya msingi Kibirizi iliyopo katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji wameuawa kwa radi hiyo.

Innalillah Wayna Ilayhi Rajiuun
 
Allah akupeni subira na msiba
 
Hii radi ya kigoma inaua wanafunzi na walimu wao tu, haijapita miezi miwili iliua mwalimu na wanafunzi watano.

Mungu awaweke marehemu mahali pema peponi na atuepushie majanga zaidi.
 
Pole sana kwa familia, mola azilaze roho za marehemu pahala pema peponi
 
Kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kuanzia muda wa saa nne asubuhi, katika manispaa ya Kigoma/Ujiji, jumla ya wanafunzi wanane na walimu wawili wa shule ya msingi Kibirizi iliyopo katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji wameuawa kwa radi hiyo.

Innalillah Wayna Ilayhi Rajiuun
Dah! Inlalilahi...
 
Mungu awape faraja walofikwa na msiba. Ila uchawi mmezidisha watu wa kigoma na sumbawanga.
 
ACT wabaya sana, wameamua kutoa watu wao wa Kigoma kafara kabisa,, looh, mkichukua nchi si mtamaliza watanzania wote!!
 
duh inasikitisha sana walale mahala pema Mbinguni...
 
ACT wabaya sana, wameamua kutoa watu wao wa Kigoma kafara kabisa,, looh, mkichukua nchi si mtamaliza watanzania wote!!

Hatuwezi kushangaa hayo ndiyo malezi ya mbowe na slaa kwa vijana wao wa BAVICHA.
 
Back
Top Bottom