Uchawi: Dawa za kujiepusha na ajali

Uchawi: Dawa za kujiepusha na ajali

DEMONS dont need money cause they are paid in terms of blood. But sio kama watu wanavyo danganyana. Si kweli kwamba, majini hunywa damu za watu. Unajua kwanini ukienda kwa mganga kutafuta dawa ya utajiri unaambiwa utoe damu ya mtu unaye mpenda?

Kwanini?
 
Kinga ni Yesu tu. We ukiamka asubuhi jitakase kwa damu ya Yesu then takasa siku hiyo na jiwekee ulinzi wa damu ys Yesu ukikabidhi chombo unachosafiria na waendeshaji wa chombo hicho mikononi mwa Mungu maana yeye ndiye muweza wa yote.
 
Nenda kwenye chumba anacho lala mama yako mzazi. Chukua nguo yake ya ndani,uniletee nikutengenezee hiyo dawa. Au kama utashindwa,mvizie mama yako akiwa anajisaidia haja ndogo sehemu ambayo ni nje ya choo. nenda hadi pale alipokojolea, chota huo mchanga,uweke kwenye kitambaa cheupe, uniletee nikutengenezee hiyo dawa. Hakikisha unauleta mchanga ukiwa mbichi. Mbona simple sana kaka

duuuu noma
 
Kinga ni Yesu tu. We ukiamka asubuhi jitakase kwa damu ya Yesu then takasa siku hiyo na jiwekee ulinzi wa damu ys Yesu ukikabidhi chombo unachosafiria na waendeshaji wa chombo hicho mikononi mwa Mungu maana yeye ndiye muweza wa yote.

Ni vizuri kama una vigezo vya kupewa ulinzi kwa damu ya Yesu maana sio wote wasemao bwana bwana...... But kama unajijua wokovu wako ni wakimagumashi kama FloraMbasha, Fanya kama nilivyo andika hapo juu.
 
Mi siyo polisi but unaposema kitu kizito namna hiyo ni lazima watu tuwe na uhuru wa kuchagua kwa kujiridhisha kitakwimu.

Uchawi na takwimu wapi na wapi mkuu. Ya mungu muachie mungu, ya kaisari muachie kaisari
 
Back
Top Bottom