Recent content by julfox

  1. julfox

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja tangu nimeacha kufatilia mpira

    😂😂
  2. julfox

    JamiiForums Tanzania Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

    Marehemu mnambeba kwenye boda
  3. julfox

    JamiiForums Tanzania MUHTASARI WA MATUMIZI KWA MIEZI SITA YA 2026 WA SIR WICKNELL CHIVAYO

    Alikuwa "a man of strategy " connection kubwa sana, huyu akiwa rafiki yako tu umetoboa
  4. julfox

    JamiiForums Tanzania MUHTASARI WA MATUMIZI KWA MIEZI SITA YA 2026 WA SIR WICKNELL CHIVAYO

    JANUARI 2026 1 Januari 2026 – Alimtembelea Rais Emmerson Mnangagwa katika shamba lake. 3 Januari 2026 – Aliwazawadia wanachama wa Johanne Masowe magari yenye thamani ya zaidi ya USD 500,000. 7 Januari 2026 – Alitoa Toyota Hilux Double Cab yenye thamani ya USD 75,000 na kuweka USD 250,000...
  5. julfox

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    Nimebahatika bahati mbaya sikuwa nataka kuiangalia
  6. julfox

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    Nimebaatika kutizama ile video inayo trend kule fb ikimuenyesha mdada akichinjwa kikatili🥵🥵.. kinyamaaa, kikatiliii. Aise kunatisha tupunguze shobo wakuu na mtu kama humjui kiundani mwache apite, watu ni wakatiliiì😳
  7. julfox

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum sasa rasmi kutumika bila VPN

    Naona tu mabadiliko ya app
  8. julfox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hii battle mbona haiishi
  9. julfox

    JamiiForums Tanzania Utamu hauna umri

    😁😁
  10. julfox

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanahabari: Ni marufuku kusema, "kijana na binti..."

    kijana ambaka kijana
  11. julfox

    JamiiForums Tanzania Sativa: Kisa cha kutekwa na kuteswa

    Scene 1: Mji wa Dar es Salaam, Usiku Maelezo ya eneo: Usiku wa Dar es Salaam, mitaa yenye mwangaza mkali kutoka kwa biashara za usiku na vilabu vya michezo ya kamari. Sativa ni kijana maarufu anayejulikana kwa kupenda michezo ya kamari. Usiku mmoja, huku akicheka na marafiki zake na akifurahia...
  12. julfox

    JamiiForums Tanzania Anataka kuja kwangu wakati sina hata godoro nalala chini, kwake nilikwenda nikakuta ana maisha mazuri

    Mwambie ata geto sio lako ni la kuazima,, kuepushia aibu ya icho kigodoro,, mwambie wewe ni kama yesu tu huna pakulala,,, unalalaga lindo,, nenda kaazima iphone 15, uwe nayo siku anakuja ili ajue sio kwamba umeshindwa kumiliki geto labda hupendi tu
Back
Top Bottom